The Khoisan
JF-Expert Member
- Jun 5, 2007
- 16,434
- 14,547
Yah right. Ugaidi wa kuchonga.Ndio maana mnafanya ugaidi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yah right. Ugaidi wa kuchonga.Ndio maana mnafanya ugaidi?
Ugaidi wa kuchonga pamoja na ushihidi wote ule?Yah right. Ugaidi wa kuchonga.
Sheria zipi unataka zifuatwe. Kwani Mbowe hajatolewa kisheria. Na wewe unapoandika fuata sheriaKaka yangu Freeman Mbowe Pole na hongera kwa kuachiwa huru kwa amri ya amiri jeshi mkuu wa majeshi yote Mhe Rais Samia Suluhu Hassan,
Karibu tena uraiani,Sisi Watanzania kwa sasa ni wamoja pengine kuliko wakati wowote wa historia ya Taifa hili.
Pole pia tumetaarifiwa unatatizo la kiafya,Tunakuombea kwa Mungu urejee katika utimamu wako wa kiafya.
Mhe Freeman Mbowe nikutonye kidogo," Hivi majuzi Viongozi wa kidini Tanzania waliomba kukutana na Rais wao kipenzi Mhe Samia Suluhu Hassan"
Mhe Rais Samia Suluhu Hassan kwa Uchamungu wake alionao aliwakubalia na akawaita moja kwa moja Ikulu,Wakala na kunywa pamoja nae.
Pamoja na Mambo mengine viongozi wa dini Tanzania wakiongozwa na mufti mkuu wa Tanzania walikuombea msamaha kwa Mama Samia Suluhu Hassan ili uachiwe huru bila masharti hata kama wewe ni gaidi kweli.
Viongozi wa dini Tanzania wanataka nchi yao waliopewa na Mungu iwe sehemu salama kwa kila mtu kuishi ukiwemo wewe Freeman Mbowe unayetajwa kwa ugaidi,
Kaka yangu Freeman Mbowe unatambua kabisa Mahakama kuu chini ya Jaji Tiganga ilikukuta na hatia ya kufadhili na kutenda ugaidi Tanzania ( Ulikuwa na kesi ya kujibu).
Leo tunashuhudia unyenyekevu kwa Mungu na Taifa alionao Mama yetu Mhe Samia Suluhu Hassan ameamua bila wewe wala chama chako kumwomba msamaha kukuachia huru tena bila masharti yeyote.
Kwa jambo hili tu,Wewe Freeman Mbowe na Wapinzani wenzako lazima muelewe kuwa Tanzania imepata Rais Mpole na mnyenyekevu ever,
Lazima tuelewe Tanzania Tumepata Rais Mchamungu na Mtulivu wa moyo kwelikweli,
Rekodi zinaonesha tangu Taifa hili liwe huru hajawahi kupatikana Rais Mahiri na jasiri mwenye huruma kama Mhe Mama Samia Suluhu Hassan.
Naomba kukutaarifu kuwa wewe sio "Mwamba" kama wanavyokuita Chadema wenzio,Binafsi nakushauri na kukusihi kuwa makini na heshimu mamlaka zilizopo utakuwa salama wakati wote tofauti na hapo usijelaumu mtu.
Freeman Mbowe Wewe ni raia kama raia wengine na ukitenda au kurudia kosa utashughulikiwa kama raia wengine tunavyoshughulikiwa kwani kwenye Taifa hili hakuna yeyote aliye juu ya sheria.
Watanzania tunataka siasa zenye tija kwa kizazi hiki na kizazi kijacho na kamwe hatutavumilia utoroshaji wowote wa amani yetu kwani Sisi tuko tayari kuilinda kwa gharama yeyote hiyo "Amani" yetu
Wito wangu kwako na Chama Chako,mumuheshimu zaidi na kumshukuru sana Rais Samia Suluhu Hassan pamoja na viongozi wa dini wa Taifa hili kwani bila hawa ungekuta watoto wengine wasio wako.
Freeman Mbowe bila Rais Samia Suluhu Hassan hakika amini nakwambia ungeozea jela huku Wale wanaoishi nje wakiendelea kunywa na kula kuku za bure kwa hisani ya wazungu.
Mwisho, Mtanzania mwenzangu popote ulipo bila kujali itikadi ya Chama wala dini yako shituka sasa,
Huyu Rais ni Chaguo la Mungu lazima tumuunge mkono popote kwa chochote kwani haya anayoyafanya ni hakika hitaji la Mungu mwenyewe hata baba askofu Dkt Benson Bagonza ataungana na Mimi kwenye hili,
Mungu mbariki Rais Samia Suluhu
Mungu ibariki Tanzania yetu.
Kidumu Chama Cha Mapinduzi.
View attachment 2138435
View attachment 2138436
Kufadhili ugaidi ni kufuata sheria?Sheria zipi unataka zifuatwe. Kwani Mbowe hajatolewa kisheria. Na wewe unapoandika fuata sheria
Sawa lakin je mahakama imemkuta na hatia?Kufadhili ugaidi ni kufuata sheria?
Ushahidi wa Kingi, Mahita, Urio na Swila... You git to be kidding me.Ugaidi wa kuchonga pamoja na ushihidi wote ule?
Ile kesi MBOWE angeshinda tu na serikali imejitia aibu sana kwa kubambikizia watu kesiKaka yangu Freeman Mbowe Pole na hongera kwa kuachiwa huru kwa amri ya amiri jeshi mkuu wa majeshi yote Mhe Rais Samia Suluhu Hassan,
Karibu tena uraiani,Sisi Watanzania kwa sasa ni wamoja pengine kuliko wakati wowote wa historia ya Taifa hili.
Pole pia tumetaarifiwa unatatizo la kiafya,Tunakuombea kwa Mungu urejee katika utimamu wako wa kiafya.
Mhe Freeman Mbowe nikutonye kidogo," Hivi majuzi Viongozi wa kidini Tanzania waliomba kukutana na Rais wao kipenzi Mhe Samia Suluhu Hassan"
Mhe Rais Samia Suluhu Hassan kwa Uchamungu wake alionao aliwakubalia na akawaita moja kwa moja Ikulu,Wakala na kunywa pamoja nae.
Pamoja na Mambo mengine viongozi wa dini Tanzania wakiongozwa na mufti mkuu wa Tanzania walikuombea msamaha kwa Mama Samia Suluhu Hassan ili uachiwe huru bila masharti hata kama wewe ni gaidi kweli.
Viongozi wa dini Tanzania wanataka nchi yao waliopewa na Mungu iwe sehemu salama kwa kila mtu kuishi ukiwemo wewe Freeman Mbowe unayetajwa kwa ugaidi,
Kaka yangu Freeman Mbowe unatambua kabisa Mahakama kuu chini ya Jaji Tiganga ilikukuta na hatia ya kufadhili na kutenda ugaidi Tanzania ( Ulikuwa na kesi ya kujibu).
Leo tunashuhudia unyenyekevu kwa Mungu na Taifa alionao Mama yetu Mhe Samia Suluhu Hassan ameamua bila wewe wala chama chako kumwomba msamaha kukuachia huru tena bila masharti yeyote.
Kwa jambo hili tu,Wewe Freeman Mbowe na Wapinzani wenzako lazima muelewe kuwa Tanzania imepata Rais Mpole na mnyenyekevu ever,
Lazima tuelewe Tanzania Tumepata Rais Mchamungu na Mtulivu wa moyo kwelikweli,
Rekodi zinaonesha tangu Taifa hili liwe huru hajawahi kupatikana Rais Mahiri na jasiri mwenye huruma kama Mhe Mama Samia Suluhu Hassan.
Naomba kukutaarifu kuwa wewe sio "Mwamba" kama wanavyokuita Chadema wenzio,Binafsi nakushauri na kukusihi kuwa makini na heshimu mamlaka zilizopo utakuwa salama wakati wote tofauti na hapo usijelaumu mtu.
Freeman Mbowe Wewe ni raia kama raia wengine na ukitenda au kurudia kosa utashughulikiwa kama raia wengine tunavyoshughulikiwa kwani kwenye Taifa hili hakuna yeyote aliye juu ya sheria.
Watanzania tunataka siasa zenye tija kwa kizazi hiki na kizazi kijacho na kamwe hatutavumilia utoroshaji wowote wa amani yetu kwani Sisi tuko tayari kuilinda kwa gharama yeyote hiyo "Amani" yetu
Wito wangu kwako na Chama Chako,mumuheshimu zaidi na kumshukuru sana Rais Samia Suluhu Hassan pamoja na viongozi wa dini wa Taifa hili kwani bila hawa ungekuta watoto wengine wasio wako.
Freeman Mbowe bila Rais Samia Suluhu Hassan hakika amini nakwambia ungeozea jela huku Wale wanaoishi nje wakiendelea kunywa na kula kuku za bure kwa hisani ya wazungu.
Mwisho, Mtanzania mwenzangu popote ulipo bila kujali itikadi ya Chama wala dini yako shituka sasa,
Huyu Rais ni Chaguo la Mungu lazima tumuunge mkono popote kwa chochote kwani haya anayoyafanya ni hakika hitaji la Mungu mwenyewe hata baba askofu Dkt Benson Bagonza ataungana na Mimi kwenye hili,
Mungu mbariki Rais Samia Suluhu
Mungu ibariki Tanzania yetu.
Kidumu Chama Cha Mapinduzi.
View attachment 2138435
View attachment 2138436
Unaelewa maaana ya kuwa na kesi ya kujibu?Ile kesi MBOWE angeshinda tu na serikali imejitia aibu sana kwa kubambikizia watu kesi
Kuwa na kesi ya kujibu siyo hukumu. Unaweza kupatikana na makosa ya kusingiziwaUnaelewa maaana ya kuwa na kesi ya kujibu?
Hilo ni jambo jingineKuwa na kesi ya kujibu siyo hukumu. Unaweza kupatikana na makosa ya kusingiziwa
Mbona hawakumtoa sasa Mbowe?Jopo la utetezi la wasomi lililokuwa linaongozwa na adv Peter Kibatala lina kesi ya kujibu kwa unyanyasaji mliowafanyia mashahidi wa mchongo kwa kuwavua nguo hadharani na kuwasabishia ugonjwa wa kwenda msalani mara kwa mara.ILA MLIFANYA KAZI KUBWA SANA.MUNGU ATAWALIPA KWA KAZI YENU ILIYOTUKUKA.
Huelewi au unapotosha maksudi! Unaandika Mahakama kuu chini ya Tiganga ilikukuta na hatia ya kufadhili ugaidi - je baada ya kukutwa na hatia alipewa adhabu gani?Kaka yangu Freeman Mbowe unatambua kabisa Mahakama kuu chini ya Jaji Tiganga ilikukuta na hatia ya kufadhili na kutenda ugaidi Tanzania ( Ulikuwa na kesi ya kujibu).
Kidumu Chama Cha Mapinduzi.
Hiki siyo kitendawili - ilishaonekana wazi kuwa kesi hiyo ni ya kisiasa na ya kuchonga. Ebu fikiria kwa nini akina Kidando walitaka kujua mashahidi wa utetezi ni akina nani na anwani zao? Unajua waliponyimwa waliingia gizani bila kujua nani wataitwa, Unakumbuka pia kuna ushahidi uliotolewa na upande wa mashtaka na wakati huo huo na upande wa utetezi akina Kibatala nao wakasema watatumia ushahidi huo huo? Uliwahi kujiuliza mantiki yake?Yote tisa umeyaandika, moja kubwa ni kitendawili cha kuachiwa na Serikali bila masharti wakati mahakama, kwa ushahidi uliotolewa, ana kesi ya kujibu
WeweJibu swali la Wakili - Kama gari linabeba watu 5, na ninyi mlikuwa 7 je ni nani alimkalia Kigai ?
Jibu swali la Wakili - Kama gari linabeba watu 5, na ninyi mlikuwa 7 je ni nani alimkalia Kigai ?ni
Kaka yangu Freeman Mbowe Pole na hongera kwa kuachiwa huru kwa amri ya amiri jeshi mkuu wa majeshi yote Mhe Rais Samia Suluhu Hassan,