Bila Rakitic,Iniesta,Bosquet Hakuna Messi

Bila Rakitic,Iniesta,Bosquet Hakuna Messi

Haka katoto kanaongea shombo tu humu ndani. JF ameona kama ni group la watoto wenzie huko Watsup.
Kama kumbukumbu zangu ziko vizuri...and no one is perfect just use a polite language to correct me

Sidhani hata kama wewe hujawai kukosea kama hujawai nice your an extra extra genious.

>18 an adult person mambo ya kuitana 'hata katoto' yametoka wapi?

Kama huwezi comment in polite way just leave it.

According to Ivan Rakitic sio maneno Yangu ayo.

Ila all in all thanks kwa correction aliumia mechi dhidi ya Atl madrid waliyo draw 1-1
 
sasa ww jamaa point yako ni nini unataka modric azungumzwe ili iweje,ww ukiona ronaldo ndio anyezungumzwa kuzidi huyo modric jua fika majukumu ya ronaldo ni makubwa kuzidi ya huyo modric ndio maana hazunhumzwi! au ww unadhani kufunga ni kazi rahisi,mbona ma goal keeper wanaokoa mipira sana lakini bado sifa zote hupewa ma forward na hii ni duniani kote!au unadhani watu dunia nzima kuwapa sifa ma forward na kuwaacha wechezaji wengine kama ma goal keeper,mabeti na viungo ni wajinga!.sijui kama umisha wahi kucheza mpira ww unadhani kazi ya kufunga ni kazi rahisi eeh.
Mabeti-Mabeki...nimekuelewa Ndugu

Ila Rakitic angeweza kusoma izi koment nahis angejifunza kitu.

1477112764147.png
 
hizo ni hisia zako vipi nami nikukuambia kuwa kama messi angeaza hiyo game basi uwepo wa messi pale mbele ni hofu tosha na labda celta vigo wangecheza mpira wa kuzuia zidi na inawezekana uwepo wa messi ungesababisha wafungwe magoli kama 3 mapema na kuwaondoa matumaini kabisa ya kushinda game
Unajua barca keshakula 4-1 dhidi ya celta vigo Na messi akiwamo hakuna uwanja mgumu kwa barca kama ule wa celta vigo

Neymar anafunga goli dk ya 83
 
Hatimaye nimejua point yako
Kisa nimemtaji Ronaldo Ndugu.

Sioengelei ushabiki.

I like the way barcelona playing but kwenye ukweli tuongee ukweli.
 
Hiv mshawahi kuishuhudia barca bila ya messi.. Ndio mtajua umuhimu wa huyo andunje, andunje ni best player ever kushuhudiwa na macho yangu mawili.
 
Nakubiliana na wewe ndugu ila baadhi ya watu wanaamini ukiwa na wachezaji dizaini ya Messi kazi inakua rahisi.
Bila kichwa bila mkono bila tumbo bila mkono wala mguu hakuna MTU
 
Nashukuru nimepata kujifunza mengi according to my age

Na la liga most hatrick Christ Ronaldo
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] kumbe kuzunguka kote kumbe unamsapoti mmoroco huenda nawe ukawa na tabia kama zake

HIVI VITOTO VYA FB TOKA VIWEZE KUANZISHA THREAD IMEKUWA KERO
 
Aliwahi kuhojiwa Ivan Rakitic Mchezaji wa Barcelona mzaliwa wa Croatia akakiri hakuna kazi ngumu kama kucheza na Wachezaji aina ya Messi,Neymar na Suarez

Ugumu wake wachezaji wa aina hiyo siyo wakabaji ivyo inabidi uzibe yale mapengo yao ili timu isilemewe na timu pinzani hivyo inakubidi uzunguke uwanja mzima kuziba yale mapengo yao..

Naimani hata Messi akisifiwa anaweza kukataa na badala yake akaelekeza sifa kwa wachezaji wenzake.

Hivyo tunavyompa sifa Messi tukumbuke hao wachezaji..
Barca vs man city uliangalia ?? Kama hukuona kaangalie ujue nani aliamua ile mechi ...
 
we nae inaongea vitu gani mbona messi akiwa hayupo uwanjani ushindi wa barcelona unakuwa mgumu sana na mara nyingi huwa wanakuwa na wakati Mgumu! alafu acha kumfananisha messi na akina CR7 sio level zake messi level zake ni akina gaucho na maradona...tena koma kumfananisha mess na vitu vya kijinga
Cr7 ni the best we mtoto...huwezi mfananisha na hicho kimessi chako
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] kumbe kuzunguka kote kumbe unamsapoti mmoroco huenda nawe ukawa na tabia kama zake

HIVI VITOTO VYA FB TOKA VIWEZE KUANZISHA THREAD IMEKUWA KERO
kuongea ukweli ndo nimemsapoti?

Ok ulitaka nisemeje labda??

Kwani ndugu wewe huna acc fb

Jadili mada iliyopo mezani ndugu yangu,mambo ya tangu ujue kuanzisha thread is non of ur bucness.
Bila kichwa bila mkono bila tumbo bila mkono wala mguu hakuna MTU
 
Barca vs man city uliangalia ?? Kama hukuona kaangalie ujue nani aliamua ile mechi ...
Messi alishawahi kupiga chenga beki Zote za Madrid na kwenda kufunga pale timu ilipozidiwa ,,, kafanya hivi mara nyingi sana ! Na mda mwingi anakuwa nyuma ya mshambuliaji , amecheza na forwards kama etoo , ibrahimovic , Henry lakini wote wanajua .. kwa maneno yake Henry alishasema kuna kipindi alizidiwa na messi akamwambia nipe huo mpira nikafunge na ikawa hivo ,, buesquet pia ishamtokea hii tena wakicheza na mabeki wakali. Rudi angalia world cup , angalia mabara utajua messi ndo Argentina
 
Barca vs man city uliangalia ?? Kama hukuona kaangalie ujue nani aliamua ile mechi ...
Nliangalia mpaka Jerald pique akitolewa nje kwa majeraha barca akiongoza kwa moja mfungaji messi baada ya fernadihno na kuslide na messi kumlamba chenga bravo.

After mechi napenda kuangalia performance ya kila mchezaji out of 5 messi alipata zote 5

Messi ni mchezaji bora Swali je aliyesema rakitic yanaukweli?
 
Messi alishawahi kupiga chenga beki Zote za Madrid na kwenda kufunga pale timu ilipozidiwa ,,, kafanya hivi mara nyingi sana ! Na mda mwingi anakuwa nyuma ya mshambuliaji , amecheza na forwards kama etoo , ibrahimovic , Henry lakini wote wanajua .. kwa maneno yake Henry alishasema kuna kipindi alizidiwa na messi akamwambia nipe huo mpira nikafunge na ikawa hivo ,, buesquet pia ishamtokea hii tena wakicheza na mabeki wakali. Rudi angalia world cup , angalia mabara utajua messi ndo Argentina
Mesi ni habari ya ulimwngu ujao

]
1477117555873.jpg
 
Attachments

  • 1477117460913.jpg
    1477117460913.jpg
    52.4 KB · Views: 24
  • Thanks
Reactions: PNC
Tatizo timu imeundwa kupitia Messi mfano unaeza kuta Neymar/Suarez wako kwenye nafasi nzuri ya kufunga ila wanampa pasi Messi

Napenda teamwork
Acha uongo wewe! Mara ngapi Messi ametoa assist wengine wafunge. Kwa hiyo mnataka hata kama Messi yuko kwenye nafasi ya kufunga asipasiwe kisa nyie mtanuna?
 
Tatizo timu imeundwa kupitia Messi mfano unaeza kuta Neymar/Suarez wako kwenye nafasi nzuri ya kufunga ila wanampa pasi Messi

Napenda teamwork
Kama imeundwa kupitia Messi mbona tena mnasema kuwa Messi anawategemea wengine? Acheni kujichanganya!
 
  • Thanks
Reactions: PNC
kuna watu hawaangalii mpira ila wanasubiri matokeo wabishane
Messi akiwa uwanjani ndio anaamua matokeo
Kweli kabisa mkuu. Dogo huwa anawajibu wachimba chumvi kwa vitendo. Roho huwa zinawauma kama nini!
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Back
Top Bottom