Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Viongozi wa dini wasipoingilia kati hali itakuwa mbaya zaidiWatu wamejenga chuki Sana mioyoni mwao zama hizi. Watu wengi wamepania kunywa [emoji481] [emoji481] Kama ni kweli. Sijawahi ona aisee!
Hiyo ni tisa; kumi ni raia kuporwa haki yao ya kuchagua viongozi wanaowataka. Kitendo hiki kimeligawa taifa na kuinua chuki.Ukienda South Africa hii leo ukakutana na ndugu wa Steven Biko na ukafanya nao mazungumzo lazima watakuambia kweli kuwa kuna kovu kubwa ndani ya mioyo yao.
Maana ndugu yao aliuawa bila hatia na utawala dhalimu wa makaburu. Tena aliuawa kifo kibaya. Huu ni mfano tu ambao unaonesha namna gani ukiukwaji wa haki za binadamu unaweza kuzalisha chuki ya kudumu.
Kwa hapa Tanzania kuna chuki kubwa sana ndani ya mioyo ya watanzania hasa baada ya Tundu Lissu kumiminiwa risasi zaidi ya 33 kama vile yeye sio binadamu. Maana ni tukio ambalo kila mtu haamini kuwa anaweza kufanyiwa binadamu aliyekuwa anahoji masuala ya msingi juu ya taifa lake.
My take: Taifa linalotenda haki humuinua Mungu.
"Religion is the opium of the oppressed" Carl Max.Viongozi wa dini wasipoingilia kati hali itakuwa mbaya zaidi
Mpo wengi na nani Wakati unaandika peke yako hapoNope, tupo wengi sana sababu the dude is doing great job for this country.. nyie wenye chuki nae bila hata sababu za msingi mpo wengi pia katika uchache wenu.
Acha ramli chonganishi chuki iko wapi yaani unaongela kuzibwa mianya ya wizi ndiyo chuki.Umepotea Wembe uleule wezi hamtapumua mpaka mnyookeUkienda South Africa hii leo ukakutana na ndugu wa Steven Biko na ukafanya nao mazungumzo lazima watakuambia kweli kuwa kuna kovu kubwa ndani ya mioyo yao.
Maana ndugu yao aliuawa bila hatia na utawala dhalimu wa makaburu. Tena aliuawa kifo kibaya. Huu ni mfano tu ambao unaonesha namna gani ukiukwaji wa haki za binadamu unaweza kuzalisha chuki ya kudumu.
Kwa hapa Tanzania kuna chuki kubwa sana ndani ya mioyo ya watanzania hasa baada ya Tundu Lissu kumiminiwa risasi zaidi ya 33 kama vile yeye sio binadamu. Maana ni tukio ambalo kila mtu haamini kuwa anaweza kufanyiwa binadamu aliyekuwa anahoji masuala ya msingi juu ya taifa lake.
My take: Taifa linalotenda haki humuinua Mungu.
Wewe nae unaweza kukuta una mke na watoto.Acha ramli chonganishi chuki iko wapi yaani unaongela kuzibwa mianya ya wizi ndiyo chuki.Umepotea Wembe uleule wezi hamtapumua mpaka mnyooke
Lakini inaleta amani na upendo"Religion is the opium of the oppressed" Carl Max.
Haki huinua Taifa. Huyo anayesema humuinua Mungu, ana Mungu wake kama wale wenye Yesu wao.Humuinua Mungu?
Unajua ni machozi kiasi gani ya wafanyakazi waliofukuzwa kwakisingizio cha vyeti fake yanatakiwa yafutwe? Tena wengine walibakisha nusu ya mwaka wastaafu na mafao wakanyimwa? Huyo mtu aliwezaje kufanya kazi zaidi ya miaka 30 na vyeti fake?
Anadhani marais waliopita walikuwa hawalioni wala kulijua hilo?
Mkuu achana tu na haya mambo. Watu wanalia sanasana na mno mno.
Maboya ya CCM ni empty head tabulalasa kwelikweli , hawa watu waliopo mtandaoni wanaishi wapi ? Leo Jiwe kasali kanisa gani ?Chuki imo humu mitandaoni mitaani kuko safi mno hakuna chuki
Tena baba jitu zima kabisa na vuzi zake kun@d#n&Wewe nae unaweza kukuta una mke na watoto.
Kwa kuwa mcha Mungu sana, uenda amesali nyumbani, si umeambiwa ako fit na busy!Maboya ya CCM ni empty head tabulalasa kwelikweli , hawa watu waliopo mtandaoni wanaishi wapi ? Leo Jiwe kasali kanisa gani ?
Uko sahihi kabisa kwa 100%Ukienda South Africa hii leo ukakutana na ndugu wa Steven Biko na ukafanya nao mazungumzo lazima watakuambia kweli kuwa kuna kovu kubwa ndani ya mioyo yao.
Maana ndugu yao aliuawa bila hatia na utawala dhalimu wa makaburu. Tena aliuawa kifo kibaya. Huu ni mfano tu ambao unaonesha namna gani ukiukwaji wa haki za binadamu unaweza kuzalisha chuki ya kudumu.
Kwa hapa Tanzania kuna chuki kubwa sana ndani ya mioyo ya watanzania hasa baada ya Tundu Lissu kumiminiwa risasi zaidi ya 33 kama vile yeye sio binadamu. Maana ni tukio ambalo kila mtu haamini kuwa anaweza kufanyiwa binadamu aliyekuwa anahoji masuala ya msingi juu ya taifa lake.
My take: Taifa linalotenda haki humuinua Mungu.
Wengine hawa nao wana jambo laoUnajua ni machozi kiasi gani ya wafanyakazi waliofukuzwa kwakisingizio cha vyeti fake yanatakiwa yafutwe? Tena wengine walibakisha nusu ya mwaka wastaafu na mafao wakanyimwa? Huyo mtu aliwezaje kufanya kazi zaidi ya miaka 30 na vyeti fake?
Anadhani marais waliopita walikuwa hawalioni wala kulijua hilo?
Mkuu achana tu na haya mambo. Watu wanalia sanasana na mno mno.
Atakapoperish ndo tutajua unafiki uliowajaa.Anayemchukia magufuli ni mtu aliyenyimwa uwezo wa kupambanua mambo,asiyeona mbali
tena mwenye akili za kujua kuchamba tu
Kweni wewe unaandika na nani?Mpo wengi na nani Wakati unaandika peke yako hapo
Kwa hiyo wewe hapa umesema kipi tofauti na huyo uliyem'quote'?Usisemee watu, jisemee wewe na wenzio katika uchache wa wingi wenu,
Kwa ground majority wanamkubali sana JPM.
Yehoyada masikiniChuki imo humu mitandaoni mitaani kuko safi mno hakuna chuki
Unaishi mtaa gani wewe??? Huku kwetu watu wanakula BIA tangu jana. Wanasubir habar washerehekeeChuki imo humu mitandaoni mitaani kuko safi mno hakuna chuki
Chuki imo humu mitandaoni mitaani kuko safi mno hakuna chuki
Jiwe ndio aliagiza ashambiliwe fullstop.Bora niwe mjinga kuliko kuwa lofa ns mpumbavu, mithili ya nyumbu.
Haiingii katika akili aliyeshambuliwa anadai, nje ya nchi, kuwa anawajua waliomshambulia. Anarudi nchini hachukui hatua yoyote kusaidia upelelezi. AKILI ZA KUUNGANISHA