Madwari Madwari
JF-Expert Member
- Sep 16, 2014
- 1,825
- 3,085
Hata wakiondoa wana utaalamu gani ?Wanaoifanya israel iendelee kuwepo kwenye ardhi ya palestina ni tawala za siri za kizayuni zinazoshikilia madaraka Saudi Arabia, Jordan, Egypt, UAE, Kuwait, Bahrain, Qatar na Oman.
Bila ya tawala za nchi hizo kung'olewa madarakani ni kazi bure tu. Hizo ndiyo tawala zinazolipia gharama zote za mazayuni kuendelea kuwepo palestina.
Nguvu kubwa zielekezwe kwenye kuwaelimisha wananchi wa nchi za Kiarabu, waamke kutoka usingizini.
Huielewi Qur'an. Unataka kuitafsiri Qur'an kama biblia?Kaa kitako bimkubwa nikusomeshe kwa sababu huna unalojua kuhusu Quran Wala Tafsiri ya Quran!
Majibu yangu kuhusu Aya hii ni katika pointi zifuatazo.
A. Aya hii inaelezea maneno ambayo yamesemwa na mwanamke , malikia wa Sabai ( QUEEN OF SHEBA) maeneo ya Yemen ya sasa Malikia ambaye wakati anasema maneno hayo alikuwa bado ni kafiri anayeabudu jua kabla ya kusilimu na kuolewa na Nabii na mfalme Sulayman.
B . Si wafalme wote wanaosifika na sifa zilizotajwa katika aya hiyo yaani sifa ya
(1) kuharibu nchi na (2) kudhalilisha watu.
Baadhi ya wafalme na watawala wana sifa hizo mbaya na wengine hawana sifa hizo.
Kwa ,mfano Nabii Daudi alikuwa Mfalme na alivyokufa ufalme wake ulirithiwa na mwanae Nabii/mfalme Sulayman. Sasa kwa akili yako unataka kusema kuwa hao manabii wawili pia walikuwa na sifa za kuharibu nchi na kudhalilisha watu?! Ukisema ndiyo utakuwa kafiri hapohapo kwa kuwakosea adabu mitume wa Allaah!
C. Miaka ya kama 1460 iliyopita huko Habasha ( Ethiopia/Eritrea) kulikuwa na mfalme wa kinaswara anayejulikana kama mfalme Najashiy ambaye mtume aliwashauri waislamu waliokuwa wakiteswa na makafiri mjini Makka wahamie katika nchi ya Habasha na kumsifu mfalme wa Habasha kuwa ni Muadilifu na katika nchi yake hakuna anayedhulimiwa.
Je kwa akili yako mfalme huyu pia alikuwa anaharibu nchi na kudhalilisha watu?! Ukisema ndiyo utakuwa huna adabu kwa kumchafua mtu ambaye mtume
صلى الله عليه وسلم
kamsafisha!.
D. Utawala wa kifalme sio haramu, na dini ya kiislamu haijaharamisha tawala za kifalme , kinachoangaliwa ni je mfalme huyu anatawala kulingana na maelekezo ya Quran na Sunna au anatawala kwa mawazo yake na mawazo ya washauri wake?!
Pia rejea Sura ya 3 / Suratu Aali Imran Aya ya 26.
E. Hiyo aya ya 34 ya sura ya 27/ Suurat Annamli uliyoitaja hapo juu, ukitaka kuielewa vizuri anzia aya ya 20 sura hiyohiyo ambapo Allaah kaanza kutaja kisa cha Nabii Sulayman, Ndege Hudihudi na Malikia Balqiisi wa Sabai, kisha endelea hadi aya ya 38 na ukifika aya ya 44 ndio mwisho wa kisa hicho, ama kuleta aya moja tu bila kuangalia mtiririko wa aya zilizotangulia na zilizofuatia Allaah alikuwa anazungumzia habari gani hapo lazima utaleta tafsiri iliyopotoka.
F. Kama nilivyosema kwenye nukta D, kutawala nchi kwa utawala wa kifalme siyo haramu.
Na tawala za asili zilizokuwepo zama za baba yetu Adamu hadi karne ya 18 zilikuwa ni tawala za kichifu na kifalme.
Serikali za kidemokrasia na mifumo ya kupiga kura kuchagua viongozi mifumo hii imeanzishwa na nchi za kimagharibi kwa nia ya kuinginza machafuko katika nchi mbalimbali zinazoendelea kwa ile sera ya devide and rule!, na watu wote wanajua ya kwamba hata neno democracy asili yake ni neno la kigiriki na pia ni wazi kwamba nchi nyingi zinazoendelea zimeipokea demokrasia shingoupande / mguu ndani mguu nje na chaguzi za kidemokrasia zimekuwa chanzo cha machafuko na vurugu ndani ya nchi zinazoendelea ukilinganisha na nchi za kifalme ambazo zinajitegemea kiuchumi na hazina machafuko ya mara kwa mara ukilinganisha na zile nchi zinazoendelea zilizojitangaza kuwa ni nchi za kidemokrasia hali yakuwa viongozi wake bado hawapendi kuondoka madarakani/ wanang'ang'ania kuendelea kubaki madarakani.
Mwisho nafasi ingeruhisu ningekufundisha historia ya tawala za kiislamu hadi kuanguka kwa dola ya Othman (Othman empire الدولة العثمانية) karne ya 20,
lakini muda hautoshi ila atakapo Allaah hili nitalianzishia Uzi maalumu ili watu wapate faida ,
Wabillaahil taifiyq.
Wajinga wapo wengi tu, wale wanaokubali kuuza utu wao kwa thamni ya starehe. Lakini kuna wale wachache wenye kuijuwa thamni ya utu, hao ndiyo watakaofanya mabadiliko.Usifikiri kwamba Wananchi wote wa nchi hizo ulizotaja ni Wajinga Kama Waarabu wengine. Hao wanajitambua.
Kuna mstari mwembamba Sana unaotenganisha kati ya Uislamu na Ugaidi.
Umejazwa ujinga ukakujaa, nani alikudanganya Mwarabu anapigana na kupingana na Myahudi? Mbona nchi za Kiarabu ndipo wanapoishi Wayahudi wengi tu mpaka leo hii? Jionee Wayahudi wanasema nini:Mwarabu amshinde myahudi? yaan mwana haramu amshinde mwana wa baraka ya agano la Mungu? kamwe hiyo haiwezekani na ndiyo maana kwa kulijua hilo hayo mataifa uliyotaja hawataki shida na Israel, Egypt miaka miaka hiyo akiwa na nguvu aliwakusanya waarabu wenzake na aliishia kula kipondo na kiongozi wake akapata heart atack akafa kibudu.
Wanaoifanya israel iendelee kuwepo kwenye ardhi ya palestina ni tawala za siri za kizayuni zinazoshikilia madaraka Saudi Arabia, Jordan, Egypt, UAE, Kuwait, Bahrain, Qatar na Oman.
Bila ya tawala za nchi hizo kung'olewa madarakani ni kazi bure tu. Hizo ndiyo tawala zinazolipia gharama zote za mazayuni kuendelea kuwepo palestina.
Nguvu kubwa zielekezwe kwenye kuwaelimisha wananchi wa nchi za Kiarabu, waamke kutoka usingizini.
Waislamu wenzioWanaoifanya israel iendelee kuwepo kwenye ardhi ya palestina ni tawala za siri za kizayuni zinazoshikilia madaraka Saudi Arabia, Jordan, Egypt, UAE, Kuwait, Bahrain, Qatar na Oman.
Bila ya tawala za nchi hizo kung'olewa madarakani ni kazi bure tu. Hizo ndiyo tawala zinazolipia gharama zote za mazayuni kuendelea kuwepo palestina.
Nguvu kubwa zielekezwe kwenye kuwaelimisha wananchi wa nchi za Kiarabu, waamke kutoka usingizini.
hii mbona kama comedy
Wewe kiajuza acha Uongo wenu wa Kiislamu hapa. Mumewafukuza wayahudi karibu wote toka nchi za kiarabu za kiislamu, ona hapa chiniUmejazwa ujinga ukakujaa, nani alikudanganya Mwarabu anapigana na kupingana na Myahudi? Mbona nchi za Kiarabu ndipo wanapoishi Wayahudi wengi tu mpaka leo hii? Jonee Wayahudi wanasema nini:
Iran inakwenda kuwa destabilized big time.Israel akimuangusha Ayatollah tu maandamano ya kuangusha utawala wa kiislam yanaanza iran.Umesema kweli, maadui wa Uislam hawaiwachi ikaishi vizuri. Wameshasema wazi "aidha uwe nasi au ni adui yetu".
Mfano mzuri Afghanistan chini ya Taliban.
Unaweka data za mazayuni. Mazayuni siyo wayahudi.Wewe kiajuza acha Uongo wenu wa Kiislamu hapa. Mumewafukuza wayahudi karibu wote toka nchi za kiarabu za kiislamu, ona hapa chini
View attachment 3058956
Ngoja tusubiri tuone yajayo hukoLabda wewe huijuwi, ni utajiri na starehe zimewalemaza. Kuwakimbiza hao wala haichukuwi muda mregfu, subiri muda si mrefu, mchele unachaguliwa na vitunguu vinamenywa sasa hivi. Karamu haipo mbali kuliwa.
Iran haihusiani kabisa na nada yangu, naamini wanajuwa kujihami.Iran inakwenda kuwa destabilized big time.Israel akimuangusha Ayatollah tu maandamano ya kuangusha utawala wa kiislam yanaanza iran.
Vurugu za ndani ya nchi za Gen Z wa Iran pamoja na wapigania haki za akina mama zinaanza.Mark my post.
Iran inaangushwa na wa Iran wenyewe!
hizi stats kutoka kwa nani?Wewe kiajuza acha Uongo wenu wa Kiislamu hapa. Mumewafukuza wayahudi karibu wote toka nchi za kiarabu za kiislamu, ona hapa chini
View attachment 3058956