Bila tawala za sasa za Saudi Arabia, Jordan, Egypt, UAE, Kuwait kuondolewa madarakani, Israel itaendelea kushikilia ardhi ya Palestina kwa muda mrefu

Bila tawala za sasa za Saudi Arabia, Jordan, Egypt, UAE, Kuwait kuondolewa madarakani, Israel itaendelea kushikilia ardhi ya Palestina kwa muda mrefu

Wanaoifanya israel iendelee kuwepo kwenye ardhi ya palestina ni tawala za siri za kizayuni zinazoshikilia madaraka Saudi Arabia, Jordan, Egypt, UAE, Kuwait, Bahrain, Qatar na Oman.

Bila ya tawala za nchi hizo kung'olewa madarakani ni kazi bure tu. Hizo ndiyo tawala zinazolipia gharama zote za mazayuni kuendelea kuwepo palestina.

Nguvu kubwa zielekezwe kwenye kuwaelimisha wananchi wa nchi za Kiarabu, waamke kutoka usingizini.
Hata wakiondoa wana utaalamu gani ?
 
Kaa kitako bimkubwa nikusomeshe kwa sababu huna unalojua kuhusu Quran Wala Tafsiri ya Quran!
Majibu yangu kuhusu Aya hii ni katika pointi zifuatazo.

A. Aya hii inaelezea maneno ambayo yamesemwa na mwanamke , malikia wa Sabai ( QUEEN OF SHEBA) maeneo ya Yemen ya sasa Malikia ambaye wakati anasema maneno hayo alikuwa bado ni kafiri anayeabudu jua kabla ya kusilimu na kuolewa na Nabii na mfalme Sulayman.

B . Si wafalme wote wanaosifika na sifa zilizotajwa katika aya hiyo yaani sifa ya
(1) kuharibu nchi na (2) kudhalilisha watu.

Baadhi ya wafalme na watawala wana sifa hizo mbaya na wengine hawana sifa hizo.
Kwa ,mfano Nabii Daudi alikuwa Mfalme na alivyokufa ufalme wake ulirithiwa na mwanae Nabii/mfalme Sulayman. Sasa kwa akili yako unataka kusema kuwa hao manabii wawili pia walikuwa na sifa za kuharibu nchi na kudhalilisha watu?! Ukisema ndiyo utakuwa kafiri hapohapo kwa kuwakosea adabu mitume wa Allaah!

C. Miaka ya kama 1460 iliyopita huko Habasha ( Ethiopia/Eritrea) kulikuwa na mfalme wa kinaswara anayejulikana kama mfalme Najashiy ambaye mtume aliwashauri waislamu waliokuwa wakiteswa na makafiri mjini Makka wahamie katika nchi ya Habasha na kumsifu mfalme wa Habasha kuwa ni Muadilifu na katika nchi yake hakuna anayedhulimiwa.
Je kwa akili yako mfalme huyu pia alikuwa anaharibu nchi na kudhalilisha watu?! Ukisema ndiyo utakuwa huna adabu kwa kumchafua mtu ambaye mtume
صلى الله عليه وسلم
kamsafisha!.

D. Utawala wa kifalme sio haramu, na dini ya kiislamu haijaharamisha tawala za kifalme , kinachoangaliwa ni je mfalme huyu anatawala kulingana na maelekezo ya Quran na Sunna au anatawala kwa mawazo yake na mawazo ya washauri wake?!
Pia rejea Sura ya 3 / Suratu Aali Imran Aya ya 26.

E. Hiyo aya ya 34 ya sura ya 27/ Suurat Annamli uliyoitaja hapo juu, ukitaka kuielewa vizuri anzia aya ya 20 sura hiyohiyo ambapo Allaah kaanza kutaja kisa cha Nabii Sulayman, Ndege Hudihudi na Malikia Balqiisi wa Sabai, kisha endelea hadi aya ya 38 na ukifika aya ya 44 ndio mwisho wa kisa hicho, ama kuleta aya moja tu bila kuangalia mtiririko wa aya zilizotangulia na zilizofuatia Allaah alikuwa anazungumzia habari gani hapo lazima utaleta tafsiri iliyopotoka.

F. Kama nilivyosema kwenye nukta D, kutawala nchi kwa utawala wa kifalme siyo haramu.
Na tawala za asili zilizokuwepo zama za baba yetu Adamu hadi karne ya 18 zilikuwa ni tawala za kichifu na kifalme.
Serikali za kidemokrasia na mifumo ya kupiga kura kuchagua viongozi mifumo hii imeanzishwa na nchi za kimagharibi kwa nia ya kuinginza machafuko katika nchi mbalimbali zinazoendelea kwa ile sera ya devide and rule!, na watu wote wanajua ya kwamba hata neno democracy asili yake ni neno la kigiriki na pia ni wazi kwamba nchi nyingi zinazoendelea zimeipokea demokrasia shingoupande / mguu ndani mguu nje na chaguzi za kidemokrasia zimekuwa chanzo cha machafuko na vurugu ndani ya nchi zinazoendelea ukilinganisha na nchi za kifalme ambazo zinajitegemea kiuchumi na hazina machafuko ya mara kwa mara ukilinganisha na zile nchi zinazoendelea zilizojitangaza kuwa ni nchi za kidemokrasia hali yakuwa viongozi wake bado hawapendi kuondoka madarakani/ wanang'ang'ania kuendelea kubaki madarakani.
Mwisho nafasi ingeruhisu ningekufundisha historia ya tawala za kiislamu hadi kuanguka kwa dola ya Othman (Othman empire الدولة العثمانية) karne ya 20,
lakini muda hautoshi ila atakapo Allaah hili nitalianzishia Uzi maalumu ili watu wapate faida ,
Wabillaahil taifiyq.
Huielewi Qur'an. Unataka kuitafsiri Qur'an kama biblia?

Qur'an hadithi na visa vilivyomo ndani yake vimelenga kutufundisha daima.

Aya ipo wazi kabisa, mpaka leo hii ina maana kubwa sana. Niambie hiyo aya umeielewa inasema nini? Bila kujidai unaitafsiri.
 
Usifikiri kwamba Wananchi wote wa nchi hizo ulizotaja ni Wajinga Kama Waarabu wengine. Hao wanajitambua.

Kuna mstari mwembamba Sana unaotenganisha kati ya Uislamu na Ugaidi.
Wajinga wapo wengi tu, wale wanaokubali kuuza utu wao kwa thamni ya starehe. Lakini kuna wale wachache wenye kuijuwa thamni ya utu, hao ndiyo watakaofanya mabadiliko.
 
tawala hizo zinatakiwa kuondolewa na nani? kw lengo gani?
 
Mwarabu amshinde myahudi? yaan mwana haramu amshinde mwana wa baraka ya agano la Mungu? kamwe hiyo haiwezekani na ndiyo maana kwa kulijua hilo hayo mataifa uliyotaja hawataki shida na Israel, Egypt miaka miaka hiyo akiwa na nguvu aliwakusanya waarabu wenzake na aliishia kula kipondo na kiongozi wake akapata heart atack akafa kibudu.
Umejazwa ujinga ukakujaa, nani alikudanganya Mwarabu anapigana na kupingana na Myahudi? Mbona nchi za Kiarabu ndipo wanapoishi Wayahudi wengi tu mpaka leo hii? Jionee Wayahudi wanasema nini:

Wanaoifanya israel iendelee kuwepo kwenye ardhi ya palestina ni tawala za siri za kizayuni zinazoshikilia madaraka Saudi Arabia, Jordan, Egypt, UAE, Kuwait, Bahrain, Qatar na Oman.

Bila ya tawala za nchi hizo kung'olewa madarakani ni kazi bure tu. Hizo ndiyo tawala zinazolipia gharama zote za mazayuni kuendelea kuwepo palestina.

Nguvu kubwa zielekezwe kwenye kuwaelimisha wananchi wa nchi za Kiarabu, waamke kutoka usingizini.

View: https://x.com/NiohBerg/status/1819057557903675737
 
Wanaoifanya israel iendelee kuwepo kwenye ardhi ya palestina ni tawala za siri za kizayuni zinazoshikilia madaraka Saudi Arabia, Jordan, Egypt, UAE, Kuwait, Bahrain, Qatar na Oman.

Bila ya tawala za nchi hizo kung'olewa madarakani ni kazi bure tu. Hizo ndiyo tawala zinazolipia gharama zote za mazayuni kuendelea kuwepo palestina.

Nguvu kubwa zielekezwe kwenye kuwaelimisha wananchi wa nchi za Kiarabu, waamke kutoka usingizini.
Waislamu wenzio
 
Umejazwa ujinga ukakujaa, nani alikudanganya Mwarabu anapigana na kupingana na Myahudi? Mbona nchi za Kiarabu ndipo wanapoishi Wayahudi wengi tu mpaka leo hii? Jonee Wayahudi wanasema nini:
Wewe kiajuza acha Uongo wenu wa Kiislamu hapa. Mumewafukuza wayahudi karibu wote toka nchi za kiarabu za kiislamu, ona hapa chini
Screenshot_20240620-101156_Chrome.jpg
 
Umesema kweli, maadui wa Uislam hawaiwachi ikaishi vizuri. Wameshasema wazi "aidha uwe nasi au ni adui yetu".

Mfano mzuri Afghanistan chini ya Taliban.
Iran inakwenda kuwa destabilized big time.Israel akimuangusha Ayatollah tu maandamano ya kuangusha utawala wa kiislam yanaanza iran.
Vurugu za ndani ya nchi za Gen Z wa Iran pamoja na wapigania haki za akina mama zinaanza.Mark my post.
Iran inaangushwa na wa Iran wenyewe!
 
Iran haihusiani kabisa na nada yangu, naamini wanajuwa kujihami.

Mada yangu ni ya nchi za Kiarabu, Iran siyo nchi ya Kiarabu.
 
Back
Top Bottom