Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 14,938
- 25,405
Bado hujakombolewa kifikra ikiwa wewe unaomba watu wapewe elimu.Nguvu kubwa zielekezwe kwenye kuwaelimisha wananchi wa nchi za Kiarabu, waamke kutoka usingizini.
nimesoma, ila haijibu swali langu naonaKasome post #105.
Madrasatul 😂Teh kwa hiyo tawala za nchi karibuni nane ziondolewe ili nchi moja Palestina iwe huru?? hizi ni akili za wapi?
Naona kama unavuka hatua ya ujinga kuelekea kwenye upumbavu.Huielewi Qur'an. Unataka kuitafsiri Qur'an kama biblia?
Qur'an hadithi na visa vilivyomo ndani yake vimelenga kutufundisha daima.
Aya ipo wazi kabisa, mpaka leo hii ina maana kubwa sana. Niambie hiyo aya umeielewa inasema nini? Bila kujidai unaitafsiri.
Isome vizuri, liliulizwa swali kama lako.nimesoma, ila haijibu swali langu naona
Si kweli, unaitafsiri Qur'an kwa kutumia biblia, ni ujinga wa hali ya juu huo.Naona kama unavuka hatua ya ujinga kuelekea kwenye upumbavu.
Maneno yaliyomo kwenye Aya uliyoileta ni habari kuhusu maneno aliyoyasema Malikia wa SABAI ambayo wakati anayasema alikuwa ni kafiri anayeabudu jua kulingana na mtiririko wa aya zilizotangulia. Maneno hayo hayatoi mwongozo wowote katika maisha ya muislamu kwa sababu aliyesema maneno hayo ni mwanamke mshirikina anayeabudu jua!
Sasa Yana uhusiano gani na wafalme wa nchi za kiarabu ulizozitaja kwenye Uzi wako?! Unanituhumu siielewi Quran wakati wanafunzi wangu tu wanafaa kuwa walimu wako wa kukusaidia kuondoa takataka za mafunzo ya kishia yaliyojaa akilini mwako?!
Quran huwezi ielewa kwa kusoma Aya moja tu. Lazima uangalie Aya zilizotangulia na zinazofuatia zinazungumzia maudhui gani! Kwa mfano ukisoma ukisoma Aya ya 4 ya sura ya 107/ suuratil maauun. Allaah anasema:Huielewi Qur'an. Unataka kuitafsiri Qur'an kama biblia?
Qur'an hadithi na visa vilivyomo ndani yake vimelenga kutufundisha daima.
Aya ipo wazi kabisa, mpaka leo hii ina maana kubwa sana. Niambie hiyo aya umeielewa inasema nini? Bila kujidai unaitafsiri.
Huu uzi siyo wa tafsiri ya Qur'an, Nakushauri funguwa uzi nije kukupa darsa la ku "tafsil" aya kwa kutumia Qur'an yenyewe. Sijaosea, ni "tafsil" ntayokupa darsa siyo tafsiri.Quran huwezi ielewa kwa kusoma Aya moja tu. Lazima uangalie Aya zilizotangulia na zinazofuatia zinazungumzia maudhui gani! Kwa mfano ukisoma ukisoma Aya ya 4 ya sura ya 107/ suuratil maauun. Allaah anasema:
فويل للمصلين.
(Adhabu kali itawapata wenye kuswali)
Unaweza elewa kuwa kuswali ni dhambi na wanaoswali wataadhibiwa na Allaah siku ya kiyama.
Na mtu anaweza tetea hoja hii kwa kusema kwamba Aya Iko wazi kwamba ADHABU KALI ITAWAPATA WENYE KUSWALI au OLE WAO WENYE KUSWALI!.
Lakini ukiunganisha Aya hiyo na Aya inayofuata
الذين هم عن صلاتهم ساهون
"Wale ambao wanazipuuza swala zao ndio utagundua kwamba makusudio ya walengwa katika aya ya nne ni kundi maalumu ya watu wanaoswali bila kuchunga tarafibu za swala kama alovyoelekeza Mtume صلى الله عليه وسلم.
Sasa wewe unapong'ang'ania Aya moja bila kuangalia Aya zilizotangulia ni dalili ya ulimbukeni na uzumbukuku wa kujitia ujuaji wa mambo usiyoyajua!
Moja ya misingi ya kujua tafsiri ya Quran ni pamoja na kujuaHuielewi Qur'an. Unataka kuitafsiri Qur'an kama biblia?
Qur'an hadithi na visa vilivyomo ndani yake vimelenga kutufundisha daima.
Aya ipo wazi kabisa, mpaka leo hii ina maana kubwa sana. Niambie hiyo aya umeielewa inasema nini? Bila kujidai unaitafsiri.
Akili au matope [emoji2]Teh kwa hiyo tawala za nchi karibuni nane ziondolewe ili nchi moja Palestina iwe huru?? hizi ni akili za wapi?
Kwani wewe ulivyoleta Aya ya Quran toka suurat Annamli kwenye Uzi ambao sio wa kufundisha dini ulitegemea nini?! Au ulitegemea waliomo jf wote ni mbumbumbu ambao utawalisha matango poli halafu wakusifie kuwa unajua dini wakati wewe zumbukuku tu!.Huu uzi siyo wa tafsiri ya Qur'an, Nakushauri funguwa uzi nije kukupa darsa la ku "tafsil" aya kwa kutumia Qur'an yenyewe. Sijaosea, ni "tafsil" ntayokupa darsa siyo tafsiri.
Kusanyika wewe na mashia wenzako wote wa Tanzania na nje ya Tz hamuwezi nishinda katika tafsiri ya Quran.Huu uzi siyo wa tafsiri ya Qur'an, Nakushauri funguwa uzi nije kukupa darsa la ku "tafsil" aya kwa kutumia Qur'an yenyewe. Sijaosea, ni "tafsil" ntayokupa darsa siyo tafsiri.
Nimeleta aya, sikuleta tafsiri ya aya. Kumbuka hilo.Kwani wewe ulivyoleta Aya ya Quran toka suurat Annamli kwenye Uzi ambao sio wa kufundisha dini ulitegemea nini?! Au ulitegemea waliomo jf wote ni mbumbumbu ambao utawalisha matango poli halafu wakusifie kuwa unajua dini wakati wewe zumbukuku tu!.
Mimi siyo shia siyo sunni, kwa taarifa yako, mimi ni Muislam.Kusanyika wewe na mashia wenzako wote wa Tanzania na nje ya Tz hamuwezi nishinda katika tafsiri ya Quran.
Nazungumza ninachokijua
والحمد لله.
Nimeleta aya, sikuleta tafsiri ya aya. Kumbuka hilo.
Niliyoweka ni maneno yaliyopo kwenye Qur
Tafauti ya Aya na tafsiri ya Aya ni nini?! Umeleta maneno ya kiswahili halafu unasema siyo tafsiri ya Aya.?! Kwani Quran imeteremshwa kwa lugha ya kiswahili.?! Mbona unashindwa kujitetea kiasi kwamba hata mnaswara anaweza gundua kuwa unadanganya watu.?! Ulicholeta ni translation ya Aya from Arabic halafu unasema ni Aya siyo tafsiri ya Aya! MAJANGA HAYA!.Nimeleta aya, sikuleta tafsiri ya aya. Kumbuka hilo.
Niliyoweka ni maneno yaliyopo kwenye Qur'an.
Uliyoileta ni maneno yaliyomo kwenye tafsiri ya Qur'an from Arabic to Swahili translation.Nimeleta aya, sikuleta tafsiri ya aya. Kumbuka hilo.
Niliyoweka ni maneno yaliyopo kwenye Qur'an.
Huna ubavu wa kunifundisha Quran wa la tafsiri yake. WANAUME WANANIKIMBIA UTANIWEZA WEWE BIBI KIZEE?!Mimi siyo shia siyo sunni, kwa taarifa yako, mimi ni Muislam.
Sina ujinga wa kujiundia madhehebu ya wajinga ndiyo waliwao.
Ukitaka malumbano zaidi kuhusu Uislam na "tafsil" ya Qur'an funguwa uzi nije kukupa darsa.