Tangawizi
JF-Expert Member
- Jun 25, 2009
- 6,696
- 6,734
Unajua kwamba Iran ndani kabisa kuna watu wa Israel? Ndio maana Rais walimtumia jini makata helicopter ikazingua. Huyu mtu wa Hamas, bomu liliwekwa ndani ya chumba chake zaidi ya miezi miwili iliyopita. Kwenye jengo(Rest House) la Elite force ya Iran revolutionary Guards Corp.My take; Shambulizi la kulipiza kisasi la Iran halitaelekezwa kwa mazayuni kama wengi wanavyodhani, litaelekezwa kwa vibaraka wa mazayuni.
Iran hana sababu yoyote ya kuwashambulia moja kwa moja mazayuni kwa sasa. Mazayuni Hams na hezbollah ipo mgongoni kwao inawatosha.
Iran sasa atadeal na vibaraka wa Mazayuni. Tutegemee kufungwa njia za uchumi wa Mazayuni na vibaraka wake mdogo mdogo ka a tulivyojifunza kutoka Afghanistan, na kabla yeke, Vietnam.
Wewe uko huku umeshiba pilau na juice ya tende unaleta maneno mengi ambayo wala huna uhakika nayo. Kule wanafanya yao