Bila tawala za sasa za Saudi Arabia, Jordan, Egypt, UAE, Kuwait kuondolewa madarakani, Israel itaendelea kushikilia ardhi ya Palestina kwa muda mrefu

Bila tawala za sasa za Saudi Arabia, Jordan, Egypt, UAE, Kuwait kuondolewa madarakani, Israel itaendelea kushikilia ardhi ya Palestina kwa muda mrefu

My take; Shambulizi la kulipiza kisasi la Iran halitaelekezwa kwa mazayuni kama wengi wanavyodhani, litaelekezwa kwa vibaraka wa mazayuni.

Iran hana sababu yoyote ya kuwashambulia moja kwa moja mazayuni kwa sasa. Mazayuni Hams na hezbollah ipo mgongoni kwao inawatosha.

Iran sasa atadeal na vibaraka wa Mazayuni. Tutegemee kufungwa njia za uchumi wa Mazayuni na vibaraka wake mdogo mdogo ka a tulivyojifunza kutoka Afghanistan, na kabla yeke, Vietnam.
Unajua kwamba Iran ndani kabisa kuna watu wa Israel? Ndio maana Rais walimtumia jini makata helicopter ikazingua. Huyu mtu wa Hamas, bomu liliwekwa ndani ya chumba chake zaidi ya miezi miwili iliyopita. Kwenye jengo(Rest House) la Elite force ya Iran revolutionary Guards Corp.
Wewe uko huku umeshiba pilau na juice ya tende unaleta maneno mengi ambayo wala huna uhakika nayo. Kule wanafanya yao
 
Fukuto lililopo huko sasa hivi hulielewi.

Huu siyo ushabiki wa Yanga na Simba.

Hakuna fukuto. Ni ujinga ujinga. Ukiona fahari kuuna, hata wewe ukiuwawa, who cares?

Israel anaonyesha upper hand sababu Iran ilirusha makombora zaidi ya mia tatu mwezi wa kumi. Walianza na Rais. Ile helicopter was a clear message, wazayuni ndio DP World 😂 😂 😂 😂. Halafu wakasubiri boss wa Hamas aende ili watume message nyingine loud and clear.

Wewe na mimi tujenge nchi yetu. Tunajidanganya sana na hizi dini bila kuelewa tunachotaka nini. Unakufa kihoro sababu Iran imedhalilishwa?
 
My take; Shambulizi la kulipiza kisasi la Iran halitaelekezwa kwa mazayuni kama wengi wanavyodhani, litaelekezwa kwa vibaraka wa mazayuni.

Iran hana sababu yoyote ya kuwashambulia moja kwa moja mazayuni kwa sasa. Mazayuni Hams na hezbollah ipo mgongoni kwao inawatosha.

Iran sasa atadeal na vibaraka wa Mazayuni. Tutegemee kufungwa njia za uchumi wa Mazayuni na vibaraka wake mdogo mdogo ka a tulivyojifunza kutoka Afghanistan, na kabla yeke, Vietnam.
wallah wabillah wat Allah ubavu huo Iran hana!
Hapo alipo ayatollah Kila siku anaota na kuweweseka Kufa Kufa!
Shangaa wairan hawakumchagu rais mwenye msimamo Mkali wamechagu Rais moderate!
Ex president Rais kumbuka yaliyo mkuta!
 
wallah wabillah wat Allah ubavu huo Iran!
Hapo alipo ayatollah Kila siku anaota na kuweweseka Kufa Kufa!
Shangaa wairan hawakumchagu rais mwenye msimamo Mkali wamechagu Rais moderate!
Ex president Rais kumbuka yaliyo mkuta!

Wamepigwa kitu kizito hawaamini. Ile nyumba aliyouwawa boss wa Hamas ni ya elite force wa Iran. Bomu liliingizwa miezi miwili iliyopita. Ina maana Israel yuko ndani ya Iran na systems zake. Ila cha kushangaza tunashabikia Iran na kuilinda DP World. Tunaona vibaya wakipigwa mateke
 
Huyu ajuza sasa naona amwanza kudata,wamemlaumu mmarekani sasa wameanza kulaumiana wao,shenzi kabisa.
Utamwekaje Mmarekani pembeni na hizo nchi nilizozitaja?

Usifikiri ushabiki wa Yanga na Simba huu.
 
wallah wabillah wat Allah ubavu huo Iran hana!
Hapo alipo ayatollah Kila siku anaota na kuweweseka Kufa Kufa!
Shangaa wairan hawakumchagu rais mwenye msimamo Mkali wamechagu Rais moderate!
Ex president Rais kumbuka yaliyo mkuta!
Huu siyo ushabiki wa Yanga na simba.

Iran anaelewa wazi jinsi ya tawala za kizayuni na vibaraka wa Marekani walivyomzunguka, dawa ni kuziumiza kwa kipato tu. Anafanya hilo kwa miaka mingi sana sasa na ndiyo maana lich ya vikwazo vyote vya uchumi bado Iran ina nguvu ya kutisha.

Hawezi wakati kishaanza? Tena siyo leo wala jana.

Hivi huelewi kuwa mwezi uliopita Kaiteka meli ya mafuta ya Kimagharibi na kaipeleka kwake na siyo ya kwanza hiyo?

Hivi huelewi kuwa zaidi ya nusu ya meli sasa hivi hazikatizi mitaa hiyo?

Huu kijana siyo ushabiki wa Yanga na simba.
 
Hizo 'msimamo mkali na "moderate" ni "terminologies" mlizotungiwa wajinga ndiyo waliwao. Hazina maa yoyote kiuhalisia.
 
Wamepigwa kitu kizito hawaamini. Ile nyumba aliyouwawa boss wa Hamas ni ya elite force wa Iran. Bomu liliingizwa miezi miwili iliyopita. Ina maana Israel yuko ndani ya Iran na systems zake. Ila cha kushangaza tunashabikia Iran na kuilinda DP World. Tunaona vibaya wakipigwa mateke
Toka lini mwarabu (sunni) na muajemi (shia) wanaelewana??
Kila mmoja anamuita Mwenzio kafiri!
 
Huu siyo ushabiki wa Yanga na simba.

Iran anaelewa wazi jinsi ya tawala za kizayuni na vibaraka wa Marekani walivyomzunguka, dawa ni kuziumiza kwa kipato tu. Anafanya hilo kwa miaka mingi sana sasa na ndiyo maana lich ya vikwazo vyote vya uchumi bado Iran ina nguvu ya kutisha.

Hawezi wakati kishaanza? Tena siyo leo wala jana.

Hivi huelewi kuwa mwezi uliopita Kaiteka meli ya mafuta ya Kimagharibi na kaipeleka kwake na siyo ya kwanza hiyo?

Hivi huelewi kuwa zaidi ya nusu ya meli sasa hivi hazikatizi mitaa hiyo?

Huu kijana siyo ushabiki wa Yanga na simba.
Muda Utasema!; Tuombe uhai!
 
Bibi faiza achana na waarabu hao ni vichwa maji.Israeli ni level nyingine.Maana unawatetea lakini wanakuangusha sana.Kwani ukihamia upande wa pili utapungukiwa na nn maana mwishowe utapata Bp ya uzeeni 🤣🤣🤣
Kijana, huu siyo ushabiki wa simba na yanga kama mawaao yako yalipoishia. Hizi ni "deep analysis" za watu wenye uelewa wa "geopolitics".

Hapa hatufutwi mshindi wa nani kafunga goli, hapa kinachotafutwa ni ushindi wa haki.

Kwa wenye uelewa, mpaka ikifikia kumuuwa anayedai haki ni ushindi mkubwa sana kwa wadai haki.

Mazayuni na wamerekani wanafikiri haki ya mtu ni kama "'movie" za holywood. Yalipitwa na wakati hayo.
 
Toka lini mwarabu (sunni) na muajemi (shia) wanaelewana??
Kila mmoja anamuita Mwenzio kafiri!
Haitakaa kamwe...from the beginning to the end, kila mtu anavizia mwenzake alale amkate kichwa
 
Hizo 'msimamo mkali na "moderate" ni "terminology mlizotungiwa wajinga ndiyo waliwao. Hazina maa ypyote kiuhalisia.
Wee sema terminology!
Kama vile hujui kwamba Watu wanaweka lugha na sio lugha inaweka watu
 
Madai yao familia ya Al Saud watawala wa Saudi Arabia ni ya asili ya Wayahudi waliobadili dini miaka ya nyuma😅😅
Siyo dini, asili.

Kumbuka, kuna dini na asili ya kiyahudi, ni vitu viwili tofauti.

Kuielewa tofauti inabidi usiwe mvivu wa kujifanyia tafiti ndogo ndogo.
 
Acha propaganda hawo wote wanaogopa kic
Wanaoifanya israel iendelee kuwepo kwenye ardhi ya palestina ni tawala za siri za kizayuni zinazoshikilia madaraka Saudi Arabia, Jordan, Egypt, UAE, Kuwait, Bahrain, Qatar na Oman.

Bila ya tawala za nchi hizo kung'olewa madarakani ni kazi bure tu. Hizo ndiyo tawala zinazolipia gharama zote za mazayuni kuendelea kuwepo palestina.

Nguvu kubwa zielekezwe kwenye kuwaelimisha wananchi wa nchi za Kiarabu, waamke kutoka usingizini.
Hapo ni bora wakatengeneza uchumi wao tyuu
 
Kwa hiyo ukalete vurugu kwenye nchi 8 ili ukakomboe kaeneo sawa na wilaya ya ilala hizi akili za huyu bibi zipoje shida ni hizi elimu zenu za madrasa
Wapi palipoandikwa "vurugu" kwenye mada yangu?

Vijana wa Kitanzania uwezo wa miono yenu ni finyu sana.

Nawashauri msiwe wavivu kujisomea.

Huu siyo ushabiki wa simba na yanga.
 
Baadhi ya jamii za kiarabu zimeanza kustaarabika hazitaki tawala za kidini zenye ukandamizaji mwingi, hawataki vita visivyo na sababu ya msingi Wala kushikamana kwenye mambo yasiyo na tija
Nini maana ya "ustaarabu" unaonesha unalitumia neno ambalo hata maana yake huielewi. Unajipinga kauli yako.
 
Acheni kuwasingizia "mazayuni" kila ujinga wa Waarabu. Mazayuni wanapata wapi muda wa kupoteza kujifunza na kufundisha watu wajilipue ili wakapate sijui mabikira wenye macho kama gololi huko peponi??
Unaonesha mada umeielewa vilivyo bali ukaamuwa tu kuja na ujuha.
 
Back
Top Bottom