Bila UMAFIA hujawa tajiri bado. Umafia ndio dira ya utajiri

Mkuu umenikumbusha mbali sana,kunamwanangu Mmoja aliwai tupa Siri hua akiludi kwao ukelewe,akifika hua anakula maji sana na kuvaa ovyo ovyo ili wasimjue jue sana kwao,

Anakwambia ukienda unajifanya uko smart sana huenda usivuke maji ukaludi ulipotoka kisa muonekano wa kutoboa ukakuponza

Mdau anakwambia mlevi hua halogwi,kitendo Cha ku act we mlevi NI KUJILOGA MWENYEWE wenye nchi hawana muda na wew

 
Working hard will only make you tired homie
Hizo zote porojo za mitaani tu. Bakhresa jina lake lina kosa gani hata atumie jina la Azania?

Wacheni kudanganyana, fanyezi kazi kwa bidii, hakuna aliyezaliwa na mali na hakuna aneondoka na mali. Tumezzikuta na tunaziwacha hapa hapa.
 
Anatafuta pesa za nini sasa 😆😆😆😅
 
Baada ya kutumia njia za kiislam ili uwe tajiri, binafsi umeweza kufikia japo punje ya ulezi ya utajiri wa Bakhresa?
Ukijuwa tofauti ya tajiri na ghani. Utanielewa, Nje ya hapo inabidi upige gogti nikupe darsa.

Uislam ni mwema sana.
 
Sisi wengine tutakuwa matajiri kwa maombi tukimuamini Kristo Yesu basi.
Yesu mwenyewe alisema ni ngumu kwa tajiri kuingia ufalme wa mbinguni kuliko ngamia kupenya tundu la sindano...nafikir umeona yesu unayemtegemea akupe utajiri views zake zilivo kuhusu utajiri..na alishakiri kwamba ufalme wake ni wa mbinguni na sio duniani...
 
Mawazo ya kimasikini na kujazana ujinga ndiko huku. Hujatumia mali yako hata siku moja katika njia za Mwenyezi Mungu halafu unataka utajiri:

Qur'an:261. Mfano wa wanao tumia mali zao katika Njia ya Mwenyezi Mungu ni kama mfano wa punje moja iliyo chipuza mashuke saba. Katika kila shuke zimo punje mia. Na Mwenyezi Mungu humzidishia amtakaye, na Mwenyezi Mungu ni Mwenye wasaa na Mwenye kujua. 261
 
dunia inamambo hii ndugu, kuna baadhi ya maeneo ukitaka kutoboa ni lazima uyahame hayo mazingira otherwise hutoboi...
 
Utajiri ulikuwa unapatikana kupitia kanuni za kidunia pamoja na maagano, miungu na nguvu za giza.Ndo maana ibilisi alitamba ni vyake anampa ampendae na Yesu hakubisha (luka 4:5-9).

Ukiwa mwenye haki ukaanzisha biashara bila kufata njia yeyote hapo juu ukamtegemea Mungu ulikuwa unapigwa matukio paka unafunga au unafilisika. Ila Muumba wetu kaja kututoa hapo.
 
Ngoja niwape tafsiri halisi ya UTAJIRI

Iko hivi .....
Utajiri Umegawanyika katika Pande kuu mbili (2).

1)Utajiri wa Kiroho (Spiritual world)

2)Utajiri wa Kimwili (physical world)

Utajiri wowote ule utaouona unamilikiwa duniani basi Ulianzia ndani ya roho.

Kisha ukaja kudhihirika kwa macho ya Nyama (Physical world).


Foundation sahihi ya Kiroho ndio ita determine wewe ni tajiri wa aina gani. Sasa hapo kwenye Foundation ya Kiroho hapo ndipo Siri yenyewe ilipo [emoji38]!




Hivyo utakuta utajiri wa material things Huwa una principle ya "Accumulate More & More".

Tukumbuke Kuna utofauti Kati ya Accumulate na Abundance ! [emoji23]
 

Unaona umetoa tafsiri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…