Bila UMAFIA hujawa tajiri bado. Umafia ndio dira ya utajiri


Maskini ni tatizo kubwa. hayo mawazo mgando yanakuja ukiwa na njaa. njia za kumiliki hela halali zipo nyingi bila umafia.

Maskini akishafeli maisha huwa anaona kila mwenye hels ni tapeli.

Tafuta hela tu hayk mawazo mgando utayasahau
 
Usichoke kupambana.
 
Weeeeee nenda kaulize wafanyakazi wake anavyowanyoosha
Anawanyoosha nini? Wacha porojo.

Nawafahamu toka wafanyakazi alioanza nao. Kina Ma K, kina Aziz. kina marehem Jidawi.

Namjuwa Bakhresa toka anauza ngozi za viatu, mpaka akatajirika kwa kuuza majongoo ya bahari (sea cucumbers) biashara aliyopewa na rafiki yake waliokuwa pamoja Unguja, Mchina Mzanzibari anaitwa Apang.

Utanieleza nini na watu wa kariakoo wewe.

Ana wafanyakazi kila namna toka Watanzania mpaka wazungu na wahindi kutoka India siyo wahindi wa Tanzania tu. Na ana viwanda mpaka nje ya Tanzania.
 
Utajiri ni kufurahi na marafiki huyo ni mtumwa wa pesa
 
Baada ya kutumia njia za kiislam ili uwe tajiri, binafsi umeweza kufikia japo punje ya ulezi ya utajiri wa Bakhresa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…