Sio kila anaekula chakula cha garama anataka show off no!! We unaishi bunju afu offisi yako ipo k.koo utarud kula lunch mchana??
Watu wanakula vyakula kwny hotel za bei kwa sababu ya usalama wa afya zao,,,,, nadhan unajua jins mazngira ya mama ntilie yalivyo yan huku anapika huku anajifuta jasho hapo hapo mteja akimaliza kula anachukua vyombo analoweka kwenye maji machafu, anakupakulia, hapo pemben kuna chemba ya mavi,, pemben kidogo kuna dampo la manispaa nzi kama wote,,, apo apo ana mtoto ambaye kajisaidia jran na sufuria ya maharage,, kuna usalama kweli hapo??