FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Point; nenda kwa mganga akakupe utajiri.Acha kufoka, stick to the point!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Point; nenda kwa mganga akakupe utajiri.Acha kufoka, stick to the point!!
Nimeliona hilo pia! Nipo nalifanyia kazi..lazima mbinu zote uzipitie za kujilinda kiroho na kimwili vinginevyo unalamba mchanga mapema wewe na uzao wako..Mpaka ufikie level ya kuwa tajiri, ni lazima uwe umefanyiwa umafia hadi na wewe unakuwa mafia mkubwa.
Utajiri ni himaya, kila jicho linaiangalia himaya kwa husda. Kuna uchawi, ujambazi, figisu na michezo yote michafu.
Ukiwa tajiri utajilinda wewe na uzao wako kiroho, kimwili na kitàaluma ili usipitwe na teknolojia.
Bila kuwekeza kwenye teknolojia utajiri wako utakuwa ni wa muda mfupi tu.
Amancio Ortega ni bonge la drugs dealer.Mbona sijawahi kuyaona Kwa Mark Zuckerberg,Jeff bezos, warren Buffett,amancio Ortega, Bernad arnault, Elon musk , Na matajiri wengine.
Matajiri wengi wa bongo Hela zao ni za makando kando lazima uwe na roho mbaya
Hapa umechapia mwanzo mwisho ...Ya kina mark Zuckerberg utayaona wapi wakati uko mbali nayo??? Tena huyo mark ndo usimzungumzie huyo ndo mafia wa mamafia,,, hata hyo Facebook halikua wazo lake kuna mtu alimpelekea hlo wazo amuundie hyo app ,,,,guess what happened next!!!
Haya hapa juz juz kauza twitter kwa elon musk afu kazindua mtandao mwngne ambao ni C&P ya twitter!!
Kuvaa nguo za gharama, na kula vyakula vya bei mbaya migahawani ni kiashiria cha umasikini.
Unaponunua nguo za gharama kila wakati na kula vyakula kwenye migàhawa ya kifahari, jua kwamba wewe ni mrija wa utajiri wa mtu fulani. Unampelekea pesa, je wewe anakupa nini?
Ukipunguza matumizi yasiyo ya lazima, ukaanzisha kabiashara kako kadogo, utatamani kukakuza na kukaongeza kabiashara kako hako.
Pia chakula cha kula nyumbani kiko healthy na fresh
😂Kuna matajri au kuna wanaoishi kitajiri ni vitu tofauti.Kuvaa nguo za gharama, na kula vyakula vya bei mbaya migahawani ni kiashiria cha umasikini.
Unaponunua nguo za gharama kila wakati na kula vyakula kwenye migàhawa ya kifahari, jua kwamba wewe ni mrija wa utajiri wa mtu fulani. Unampelekea pesa, je wewe anakupa nini?
Ukipunguza matumizi yasiyo ya lazima, ukaanzisha kabiashara kako kadogo, utatamani kukakuza na kukaongeza kabiashara kako hako.
Pia chakula cha kula nyumbani kiko healthy na fresh
😂😂😂Hii dunia kuna jamaa nilimsikia anasema kwamba eti tajiri hana chuki ..wakati wapo matajiri wanachukia hata wanaopata kidogo na wanapnga kuwadhulumu kabisa kile kidogo wakose kabisa...Tajiri kuingia peponi ni kipengele maana wengi wanafanya kazi nyingi na shetani kuliko Mungu. Wanaua just to get shit straight
NakaziaMaskini ni tatizo kubwa. hayo mawazo mgando yanakuja ukiwa na njaa. njia za kumiliki hela halali zipo nyingi bila umafia.
Maskini akishafeli maisha huwa anaona kila mwenye hels ni tapeli.
Tafuta hela tu hayk mawazo mgando utayasahau
Umenena ukweli kabisa hasa hapo kwa facebook.Hii kitu ipo dunia nzima. Shida neno la "umafia" lina relate sana na illegality; lakini ukilichukulia kama unfairness acts ndio utaona dunia nzima haya mambo yapo.
Juzi tu hapa Australia imekataa kuongeza route za Qatar airways nchini kwao bila sababu za msingi, hiyo move imekuwa engineered by Qantas Airways. Ndio umafia wenyewe. Tena wenzetu wako very aggressive and open. Facebook akishindwa kukunua ata-copy unachofanya ili kukumaliza.
Hii sipingi mzee acha iendeMpaka ufikie level ya kuwa tajiri, ni lazima uwe umefanyiwa umafia hadi na wewe unakuwa mafia mkubwa.
Utajiri ni himaya, kila jicho linaiangalia himaya kwa husda. Kuna uchawi, ujambazi, figisu na michezo yote michafu.
Ukiwa tajiri utajilinda wewe na uzao wako kiroho, kimwili na kitàaluma ili usipitwe na teknolojia.
Bila kuwekeza kwenye teknolojia utajiri wako utakuwa ni wa muda mfupi tu.
Umenena ukweli kabisa hasa hapo kwa facebook.
Kitendo cha kumnunua whatsapp ndio umafia wenyewe. Yaani hiyo ni mbadala wa kuua ila kisasa.
Ni sawa na kampuni ya bus ya Ally's akiamua kununua kampuni ya bus ya Katarama wakati wapo ruti moja ya Dar-Mwanza.
Huo ndio umafia wenyewe.
Kuna tajiri wa mabasi hapo Morogoro alinunua basi la kwanza akiwa under 20 tena akiwa anasoma. Baada ya miaka miwili akaongeza mengine.Matajiri wa kibongo ni utapeli, kuuziwa mali / mashirika ya umma, ushirikina, wizi, biashara haramu / mihadarati na nyingine nyingi... Matajiri wetu pesa zao walizipata ghafla tu na hata ukiwauliza ulianza je, hawezi kupa jibu la maana zaidi nilianza kuuza karanga, mara nilikuwa na fundi baiskeli
Fuatilia mkuu.... hao wote unaowataja ni mabingwa wa figisu. Sema figisu za wazungu zina majina tofauti tuMbona sijawahi kuyaona Kwa Mark Zuckerberg,Jeff bezos, warren Buffett,amancio Ortega, Bernad arnault, Elon musk , Na matajiri wengine.
Matajiri wengi wa bongo Hela zao ni za makando kando lazima uwe na roho mbaya
Kwani twitter ilikuwa ya Mark???😳😳😳Ya kina mark Zuckerberg utayaona wapi wakati uko mbali nayo??? Tena huyo mark ndo usimzungumzie huyo ndo mafia wa mamafia,,, hata hyo Facebook halikua wazo lake kuna mtu alimpelekea hlo wazo amuundie hyo app ,,,,guess what happened next!!!
Haya hapa juz juz kauza twitter kwa elon musk afu kazindua mtandao mwngne ambao ni C&P ya twitter!!
Sio kwamba facebook alipoona whatsapp iliyoanzishwa 2009 inatamba na yeye akaamua kuanzisha facebook messenger mwaka 2011 ili ku-compete na whatsapp.Maana ya Umafia ni nini? inawezekana wengine tunachangia ila hatuelewi maana yake.
Meta alinunua Whatsapp, laiti wasingefanya hvyo basi whatsapp isingejulika na ingekufia mbali.
Kama mwenye wazo angeona itakuja kulipa wala asingeuza. na asingeuza isingefika hapo ilipo.
Youtube ilijulikana baada ya kununuliwa na google, laiti google wasingefanya hvyo basi isingekuwepo.
Alafu mara nyingi wamiliki ndo wanawafata wanunuzi kuwapa idea yao au biashara yao
Mfano musk alitaka kuuza Telsa. yeye ndo alimfuata mnunuzi
Hapa umechapia mwanzo mwisho ...
Facebook ilianzishwa na marafiki wa tatu Na Mark zuckerberg akiwemo.
Mtandao wa Twitter hakuwa Mark zucker
Na kila hatua ulikuwa upo nae sioSijawahi kumuona wala kusikia Bakhresa akifanya hivyo na tumeishi nae Kariakoo kwa miaka mingi sana.