polokwane
JF-Expert Member
- Dec 16, 2018
- 3,361
- 5,842
Utajiri wa majini sio.Sasa umebadili wimbo, siyo "umafia" tena?
Kijana hakuna utajiri wa namna hizo, utajiri ni mawazo yako tu.
AlhamduliLlah Uislam unafundisha namna kuwa utajiri, wanaofata njia hizo wanatajirika tu, hakuna cha kuwazuwia.
Kwanza ni lazima uelewe, kuwa tajiri siyo kuwa na pesa zisizokuwa na kazi.