FK21
JF-Expert Member
- May 27, 2019
- 8,600
- 10,760
Adi CCM wezi bila kuiba hutoboiVijana msijidanganye wala msidanganywe na mawakili wa shetani hawa.
Fanya biashara yoyote kwa bidii na zungusha pesa kila fursa, kihalali, hakuna cha kukuzuwia kutajirika isipokuwa fikra zako tu.
Wachana na kufata wajinga wajinga wanaoamini hupati mali mpaka uwe mshirikina.