Bila UMAFIA hujawa tajiri bado. Umafia ndio dira ya utajiri

Utajiri ni Unatokana na wewe vile Unau define!

Kila Mtu Yuko na tafsiri yake binafsi ya Utajiri kichwani kwake .....

Usifananishe Utajiri na Dhulma sijui Umafia.

Utajiri kwa Mimi it's all about "Contentment"/Abundance.

Tajiri wa kweli ni yule mwenye Kutosheka , hapo ndio furaha ya kweli huanzia.

Kuna watu wamelalia mafedha kibao huko lakini hawana Furaha nazo kabisa yani!

Utajiri Mkubwa kabisa ni pale unapojitambua wewe ni nani Nje na ndani .....then Everything else around us is Illusions tu!

!!!!TUSIDANGANYANE!!!
 
Kuuza silaha kwa njia haramu, kumiliki madanguro , kusafirisha binadamu, wauaji wa kukodiwa, pesa bandia na mengine mengi. Kama una kigezo kimojawapo ujue wewe ni Mafioso.

Drugs, kuingia mikataba mibovu, kuuza pembe za ndovu na kukwepa kodi
 
Utajiri ni Unatokana na wewe vile Unau define!

Kila Mtu Yuko na tafsiri yake binafsi ya Utajiri kichwani kwake .....

Usifananishe Utajiri na Dhulma sijui Umafia.

Utajiri kwa Mimi it's all about "Contentment"/Abundance.

Tajiri wa kweli ni yule mwenye Kutosheka , hapo ndio furaha ya kweli huanzia.

Kuna watu wamelalia mafedha kibao huko lakini hawana Furaha nazo kabisa yani!

Utajiri Mkubwa kabisa ni pale unapojitambua wewe ni nani Nje na ndani .....then Everything else around us is Illusions tu!

!!!!TUSIDANGANYANE!!!
[emoji375][emoji419][emoji404] Hii Ndio Niliyokuwa nahitaji kuisoma
 
Kuvaa nguo za gharama, na kula vyakula vya bei mbaya migahawani ni kiashiria cha umasikini.

Unaponunua nguo za gharama kila wakati na kula vyakula kwenye migàhawa ya kifahari, jua kwamba wewe ni mrija wa utajiri wa mtu fulani. Unampelekea pesa, je wewe anakupa nini?

Ukipunguza matumizi yasiyo ya lazima, ukaanzisha kabiashara kako kadogo, utatamani kukakuza na kukaongeza kabiashara kako hako.

Pia chakula cha kula nyumbani kiko healthy na fresh
It depends bro! Yaani ukute mzee Bakheresa kweli aache kwenda kupata msosi kwenye hotel ya kifahari aje huku kwa mama ntilie?
Hivyo ulivyovitaja, ukivifanya wakati kipato chako ni mshahara au hustle tu na sio business, hapo unakaribisha umaskini.
 
Kuvaa nguo za gharama, na kula vyakula vya bei mbaya migahawani ni kiashiria cha umasikini.

Unaponunua nguo za gharama kila wakati na kula vyakula kwenye migàhawa ya kifahari, jua kwamba wewe ni mrija wa utajiri wa mtu fulani. Unampelekea pesa, je wewe anakupa nini?

Ukipunguza matumizi yasiyo ya lazima, ukaanzisha kabiashara kako kadogo, utatamani kukakuza na kukaongeza kabiashara kako hako.

Pia chakula cha kula nyumbani kiko healthy na fresh
[emoji7]
 
Mbona sijawahi kuyaona Kwa Mark Zuckerberg,Jeff bezos, warren Buffett,amancio Ortega, Bernad arnault, Elon musk , Na matajiri wengine.

Matajiri wengi wa bongo Hela zao ni za makando kando lazima uwe na roho mbaya
Acha utoto....

Hao uliowataja unawafahamu vipi kwa kuwaona tu ,kuwasikia tu na kuwasoma tu ?!!!

Mtakuwa lini?!! [emoji15][emoji15][emoji15][emoji1787]
 
Back
Top Bottom