Bila UMAFIA hujawa tajiri bado. Umafia ndio dira ya utajiri

Bila UMAFIA hujawa tajiri bado. Umafia ndio dira ya utajiri

Mambo haya ya "umafia" yapo barani Afrika tu,

Kwa vile ni mifumo ya hovyo iliyopo tangu enzi na enzi.

Waafrika wengi walio fanikiwa legally ni wachache sana kuliko wale walio fanikiwa illegally.

Kuna nchi zina mifumo mizuri, Kiasi kwamba ukijituma tu na ukatia bidii hata kuwa tajiri ni rahisi sana.

Afrika kumejaa mifumo ya rushwa, uhujumu, upigaji, umimi, ubinafsi na uhovyo wa kila aina kiasi kwamba ni ngumu mtu kutoboa kwa legal ways.
Umafia uko barani afrika tu ?!!! [emoji15][emoji15][emoji1787]

Neno lenyewe "mafia" si la kiafrika...

Hivi mtakua lini na hamu ya kujifunza mambo ?!!! [emoji15][emoji1787][emoji1787]
 
Hakuna mfanyabiashara anayetoka nje na kutangaza siri za mambo anayoyafanya. Labda nikupe kisa kimoja cha Bakhresa, alienda Rwanda akasili jina la "Azania" huku akijua kabisa kuwa hilo jina ni la mshindani wake hapa Tanzania. Azania Flour alipokwenda Rwanda kusajili akakuta tayari jina linamilikiwa na Bakhresa.

Huo ndio umafia wenyewe unaongelewa hapa

View attachment 2749719
[emoji1787][emoji1787]
 
Vijana msijidanganye wala msidanganywe na mawakili wa shetani hawa.

Fanya biashara yoyote kwa bidii na zungusha pesa kila fursa, kihalali, hakuna cha kukuzuwia kutajirika isipokuwa fikra zako tu.

Wachana na kufata wajinga wajinga wanaoamini hupati mali mpaka uwe mshirikina.
[emoji106][emoji2956]
 
Kwny kiwanda chake cha bugurun vibarua wanaingia saa 12 asbuh wanatoka saa 12 jion,, mtu unakuta kabeba viroba 100 vya sembe afu anamlipa elfu 7. Huko sio kuwanyoosha??
Sawa....

Halafu huyo alipwaye elfu 7 kila siku kwa miaka 10 anafanya ukibarua hapohapo....huu ndio UMASKINI wenyewe sasa [emoji1787][emoji1787]
 
Qur'an imeweka wazi kabisa kwa mwenye kuelewa. Anza:

Qur'an 2:261. Mfano wa wanao tumia mali zao katika Njia ya Mwenyezi Mungu ni kama mfano wa punje moja iliyo chipuza mashuke saba. Katika kila shuke zimo punje mia. Na Mwenyezi Mungu humzidishia amtakaye, na Mwenyezi Mungu ni Mwenye wasaa na Mwenye kujua. 261

Piga hesabu ya hiyo aya kama utaimaliza. Hiyo njia ya mkato ya kupata utajiri usio na mfano.
Subhanak allauma, Quran haijaacha kitu!!
 
Nimeliona hilo pia! Nipo nalifanyia kazi..lazima mbinu zote uzipitie za kujilinda kiroho na kimwili vinginevyo unalamba mchanga mapema wewe na uzao wako..
Maana hata kama kitu ni cha halali kinaenda kukupa utajiri utakutana na vita sio vya nchi hii.

Ni kazi kweli kweli..maadui kila kona kutoboa kufika pale..ni vita vikubwa ya Kiroho na kimwili, hakuna lele mama..ukifanya mchezo unalamba mchanga.

Vinginevyo ukubali kuishi ordinary life ya kupata hela ya kubadilisha mboga, kulipa kodi, au kanyumba kako kamoja..e.t.c
Maisha....

Hata "ordinary life" ina changamoto hivyohivyo....

Life's a war .....
 
[emoji23][emoji23][emoji23]Hii dunia kuna jamaa nilimsikia anasema kwamba eti tajiri hana chuki ..wakati wapo matajiri wanachukia hata wanaopata kidogo na wanapnga kuwadhulumu kabisa kile kidogo wakose kabisa...
[emoji2956][emoji2956][emoji106]
 
Umafia uko barani afrika tu ?!!! [emoji15][emoji15][emoji1787]

Neno lenyewe "mafia" si la kiafrika...

Hivi mtakua lini na hamu ya kujifunza mambo ?!!! [emoji15][emoji1787][emoji1787]
Kwa jinsi neno hilo lilivyo elezewa na mleta mada, Naona wewe ndio huja elewa nilicho andika.

Rudi kasome uzi vizuri, ali maanisha nini kwenye umafia huo.
 
Back
Top Bottom