Uchaguzi 2020 Bila unafiki unamshawishije mwalimu ambaye hajaongezwa mshahara kwa miaka mitano na bado ukambambika makato ya bodi kibabe aipende CCM?

Uko sahihi mkuu na hata hayo mateso hawajayapata walimu. Shida ni pale mtu anapotaka kutyaminisha walimu ndo watumishi wa umma wenye hali mbaya kitu ambacho si kweli. Na nashindwa kuelewa inapokuja agenda yoyote inayohusu wafanyakazi wa Umma wachangiaji wote wanakimbilia kwa walimu. Kutakuwa na shida kwenye kufikiri kwenye upande wa wanafunzi.
 
Nami lazima niipigie kura CCM japo ni mwajiriwa. Hakuna mshahara umtoshao mtumishi.
 
I love it 😍, keep up the good work.
 
Asante sana mkuu tuko pamoja katika ujenzi wa taifa hili.
 
Et Magu yuko taabani unajuwa wafanyakazi wapo wangapi kura zipo kijijini bwashee
 
Walimu ni moja ya kada ya mazezeta nchini, wananyanyaswa ila wakati wa kuchakachua wanakua mstali mwa mbele kwani wengi wao ndio wanakua wasimamizi wa uchaguzi
 
hao jamaa wametufundisha, ila linapokuja swala la kufikiria wapo nyuma sana. nawaona wameanzisha kitu eti wanaita shirikisho la waalimu la kuunga mkono chama
mi nadhani mshahara unawatosha
 
Walimu ni moja ya kada ya mazezeta nchini, wananyanyaswa ila wakati wa kuchakachua wanakua mstali mwa mbele kwani wengi wao ndio wanakua wasimamizi wa uchaguzi
Inaonyesha directly kuwa wewe ni muhanga katika like sakata la vyeti hewa!, Huwezi kumlazimisha mtu aamini unachokiamini wewe, mbona vijana wa siku hampo vizuri upstairs 😁
 
Walimu wenyewe baadhi kwa kutojitambua wanayataka hayo madudu ya ccm
 
Unamwambia Mwalimu sasa unaweza kupanda Bombadier na kutua Chato International Air port
 
Walimu ni moja ya kada ya mazezeta nchini, wananyanyaswa ila wakati wa kuchakachua wanakua mstali mwa mbele kwani wengi wao ndio wanakua wasimamizi wa uchaguzi
Uko mpinzani lakini onesha adabu angalau kidogo hii ndo sababu kubwa walimu huchukia wapinzani kwa sababu ya lugha yao kwa walimu wao. Kwanza inakuwaje mpaka uwatukane walimu? Halafu mpewe nchi. Really? Naamini hamtakuwa serious!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…