mzeewaSHY
JF-Expert Member
- Aug 31, 2021
- 8,916
- 8,630
Selfishness !!Ubinafsi ndio nguzo ya maisha ya sasa ya Watanzania. Matakataka na mauchafu yote yanayoendelea kwa sasa ni uzao wa Ubinafsi uliopitiliza.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Selfishness !!Ubinafsi ndio nguzo ya maisha ya sasa ya Watanzania. Matakataka na mauchafu yote yanayoendelea kwa sasa ni uzao wa Ubinafsi uliopitiliza.
Ushauri wang kila cku, uzalendo uanzie kwa viongoz kwanza hivyo hata wananchi watakua wazalendo!! Apart from that uzalendo Nchi utabaki wimbo wa Taifa tu.
Ubinafsi na umaskini na sio kwamba hawaipendi Tanzania..
Wewe jua tuu watu Weusi ni wabinafsi in nature Sasa Changanya na umaskini ndio kabisaaUpendo na ubinafsi mara zote havikai pamoja. Ukishaona MTU mbinafsi ujue Hana upendo
Robert.. nnaposema viongoz wazalendo ni kwamba kupitia wao ndipo sheria hutungwa na kupitishwa, means sheria kali za ufisadi, kama viongoz waonyeshe mfano kiongoz flan kakutwa na hatia ya wizi basi ni magereza!! Haiwezekan unaona watu wanapiga mabilioni ya kodi za watanzania halaf ww utatoa wap guts za kulipa kodi? Mtu anasema nilipe kodi mamilion ili wachache wakaziibe!!Viongozi wanatoka Kwa wananchi.
Wananchi wazalendo huzaa viongozi wazalendo.
Viongozi ni wawakilishi WA wananchi.
Ukiona viongozi ni Mafisadi ujue wananchi ndio Mafisadi pro-.
Robert.. nnaposema viongoz wazalendo ni kwamba kupitia wao ndipo sheria hutungwa na kupitishwa, means sheria kali za ufisadi, kama viongoz waonyeshe mfano kiongoz flan kakutwa na hatia ya wizi basi ni magereza!! Haiwezekan unaona watu wanapiga mabilioni ya kodi za watanzania halaf ww utatoa wap guts za kulipa kodi? Mtu anasema nilipe kodi mamilion ili wachache wakaziibe!!
Wewe jua tuu watu Weusi ni wabinafsi in nature Sasa Changanya na umaskini ndio kabisaa
Yes wananchi siwaweki kando kweny hili, but mfano uanzie juu, hata nyumban mfano hauwez anzia kwa mtoto ili mzaz aufuate!!Ninakuelewa kabisa.
Ila hao viongozi Mafisadi au wasio wazalendo angalia wanatoka katika jamii ipi. Mtoto analelewa na Wazazi kisha jamii.
Jamii ya rushwa huzalisha viongozi wala Rushwa. Wananchi hatuna kisingizio, hapa wote tunahusika.
Mwananchi wa Leo ndio kiongozi wa kesho. Kiongozi wa Leo ni mwananchi wa kesho.