PreGE2025 Bila VPN hauwezi kuingia X (Twitter) Tanzania. Vipi huko mnaotumia Facebook na Instagram?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Hapana boss nipo ndani ila si mbali na mpakani km kama 60/70 hivi labda ndo sababu, ngoja ntatest nikianza safari maana mda si mrefu.
Yeah huenda hiyo ikawa ni sababu​
 
Reactions: Tsh
Ndio nashtuka now kila nikijaribu kuingia X inagoma nikasema ngoja nijaribu na vpn imooo!

Wajuvi wa mambo tujizeni nini kinaendelea?
​
Wakenya wamevamia mama yenu kishenzi, ameshangaaa! Kasema hivi.,
 
Hiyo ni kawaida sana kipindi hiki cha Hitler. Kuna X na Clubhouse. Hizo lazima zipigwe ban yaani.
 
CCM inafuata malezi ya chama cha kikomunisti cha china, chini ya xijing ping, so sishtuki twitter kupigwa pini.
Huwezi kufananisha CPC na vitu vya ajabu kama CCM​
 
jamaa m'moja hivi anaitwa rajabu. We andika mshauri wa raisi utamuona.
 
Cyber ATTACk kuna mtu kanya kituo cha polisi na mpaka sasa polisi hawajui aliekunya ni nani wanachukua fingerprints za kinyesi wakipeleke kwa mkemia wakague anaweza kua ni nani?
Daaah! Ila wewe jamaa 😅
 
Ni documents Gani hizo Mkuu? zishanipita jamani
 
Ach
Ndio nashtuka now kila nikijaribu kuingia X inagoma nikasema ngoja nijaribu na vpn imooo!

Wajuvi wa mambo tujizeni nini kinaendelea?
​
Acha uzushi. Wafuasi wa Braza K Mapovu mnachoweza ni uzushi tu. X ipo sawa kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…