Mpigania uhuru wa pili
JF-Expert Member
- Apr 12, 2023
- 3,380
- 6,376
Kwamba quran ilikuwepo ila muhammad alishushiwa hiki mbona kitukoKakwambia nani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwamba quran ilikuwepo ila muhammad alishushiwa hiki mbona kitukoKakwambia nani?
Acha uongo Israel alirudisha sinai lakin alikua ameshaichukuaKwanza una uwelewa gani juu ya mambo ya kimataifa?
Israel aliirudisha Sinai au ali furushwa na majeshi ya misri? Kabla ya Misri kuanzisha uvamizi wa kuikomboa Sinai Israel ilikuwa hata na dalili ya kujiondoa Sinai?
Hata huko Lebanon ali furushwa na Hizbullah lakini hakuwa na mpango wa kuondoka.
Wewe jamaa ni muungwana sana na mara nyingi huwa unafikiri kabla ya kuandika. Hauna mihemko kama baadhi ya wachangiaji wengine wa pande zote mbili yani wakristo na waislamu. Ndomaana toka mwanzo tunajadiliana vizuri. Anyway acha nijibu ulichouliza.Kama wale ni wazungu halisi then wayahudi wenye ardhi yao wako wapi!
Miaka 3000 ulikuwepo? Au ndo story za kwenye vitabu?Israeli haiko kihivyo kama unavyoaminishwa na wavaa vipedo na misuli wenzako. Israeli inapigania sovereign yake.Huko Westbank, ni maeneo ya Israel kwa zaidi ya miaka elfu 3 iliyopita. Kabla ya hata jina Palestine kuwepo kwenye uso wa Dunia. Ikitokea Israeli imechukua eneo la mtu kama ilivyo Golan heights, inakuwa ni sababu ya usalama wake.
Hao unaowaita wazungu wakipimwa DNA na hao wayahudi wa middle east zinaendaniWewe jamaa ni muungwana sana na mara nyingi huwa unafikiri kabla ya kuandika. Hauna mihemko kama baadhi ya wachangiaji wengine wa pande zote mbili yani wakristo na waislamu. Ndomaana toka mwanzo tunajadiliana vizuri. Anyway acha nijibu ulichouliza.
Wayahudi original wapo hapo mashariki ya kati toka miaka hiyo kabla ya 1948. Na wapo katika nchi nyingi tu. Wapo Lebanon, Syria, Misri, Palestina nk. Na walikuwa wanaishi kama wanavyoishi watu wengine, hakuna kubaguliwa wala kuteswa. Wayahudi waleteswa ulaya kama baadhi ya story zinavyosema lakini wa hapo mashariki ya kati hawakuteswa. Inasemekana hata kipindi cha Ottoman empire wao walikuwa na haki sawa na raia wengine kama ilivyo leo Tanzania. Muhindi, mwaarabu, mnyamwezi, mzaramo, mgogo nk wote wana haki sawa, japo maendeleo yanaweza kutofautiana kulingana na upeo wa kabila au jamii husika.
Sasa wazungu haswa waingereza walipogundua kwamba kuna miaka fulani ikifika itabidi watoe uhuru kwa zile nchi wanazotawala moja wapo ikiwa Tanganyika. Ndo wakaanza kutafuta mbinu ambayo itawasaidia kuendelea kunyonya nchi zingine hata baada ya kuzipa uhuru ili kuendesha uchumi wa nchi zao. Waingereza au wazungu waligundua kwamba mashariki ya kati kuna rasilimali nyingi kama vile gesi, mafuta nk. Hivyo ili kuzipata hizo inabidi watafute mbinu mbadala ya kuzifikia. Waliona wakisema watumie njia ya mikataba ya kawaida pekee hawatoweza kupata faida wanayoikusudia. Hivyo ni kutafuta njia ya kuzishika hizo nchi ili iwe rahisi wao kuzipata hizo rasilimali za mafuta, gesi nk bila gharama.
Sasa ili waweze kuingia huko inabidi watafute watu ambao watawatumia kama ngao yao bila wao kuonekana kuwa wapo nyuma ya ngao hiyo. Ndo wakaanza kukusanya wale wayahudi waliokuwa Ulaya ambao historia inasema walikuwa bado ni wanyonge tu hadi kufikia hatua ya kuuwawa kama kuku na Hitler.
Sasa kwa vile wayahudi walisambaa sehemu nyingi ikawa ngumu kujua kuwa huyo ni myahudi original au mzungu kutokana na wengine kuchanga mbegu na wazungu. Yani baba myahudi, baba mzungu, lakini vile vile wana sera inayosema myahudi anaweza kuwa yeyote yule, ndo maana leo kuna mpaka waethiopia kabisa weusi wenzetu lakini ni wayahudi, hivyo wazungu nao wakatumia hicho kigezo kuwa hata ukiwa mzungu pia unaweza kuwa myahudi. Waingereza wakapenyeza wapelelezi wao, askari wao, halikadhalika na Mmarekani na yeye hakutaka kuwa nyuma na yeye akapachika wa kwake na kwenda kuwachomeka huko.
Kwahiyo sera ikawa wale waliotokea Ulaya ndio wanatakiwa waongoze nchi kutokana na elimu yao utaalam wao walioupata kutoka Ulaya nk. Hapo ndo wazungu pia walipopenyeza watu wao katika mifumo ya nchi kwa kisingizio cha elimu ili kukamilisha mission waliokuwa nayo pale Mashariki ya kati. Wayahudi original ambao mpaka leo wapo, hawana usemi wowote kwani ni kama vile wamekaliwa kooni na wale waliotoka nje ambao hela zikiingia za misaada zinaangukia katika mikono yao (wazungu) hivyo wazawa hawana la kufanya as long wanaishi vizuri wanakula na kufanya vibarua vidogo vidogo vya kuwaingizia hela ya kula nk.
Hiyo ndio hali halisi pale Mashariki ya kati.
Kuvuka mipaka ya kimataifa kwenda west bank kujenga katika ardhi wanayoambiwa sio yao ndo kujilinda?Israeli ni dola huru na inatambulika kimataifa na pia ina haki ya kujilinda
Naam umempa ukweli wake.Kwanza una uwelewa gani juu ya mambo ya kimataifa?
Israel aliirudisha Sinai au ali furushwa na majeshi ya misri? Kabla ya Misri kuanzisha uvamizi wa kuikomboa Sinai Israel ilikuwa hata na dalili ya kujiondoa Sinai?
Hata huko Lebanon ali furushwa na Hizbullah lakini hakuwa na mpango wa kuondoka.
Kasome somo la DNA au uliishia madrasaSoma vizuri alichoandika jamaa. Punguza kwanza muhemko. Wayahudi wa kizungu huwa hawapiti humu kuangalia ulichoandika, so usiwe na papara.
Wewe ulikuwepo hiyo miaka 1500 unayosema au ulisimuliwa na nabii titoHao unaowaita wazungu wakipimwa DNA na hao wayahudi wa middle east zinaendani
Hivi huko shuleni huwaga mnasomea nini
Wayahudi wameisha ulaya zaidi ya miaka 1500 ila hawakubadilisha tamaduni zao ndo maana hata hitler alipotaka kuwaua ilikua rahisi kuwatambua
Sasa kwanini Sayansi inaonesha Mpalestina wa Leo ndio ana Dna ya daudi na Suleiman na Yesu? Na hao Mnaowaita wayahudi Dna zao ni sawa na W Ukraine na wengine wa Ulaya Mashariki?Kuikataa Israeli kuwa ina miliki west Bank, ni kukataa kweli iliyopo kwenye Biblia. Israeli uanzilishi wake na hata jina linaanzia kwenye Biblia 🤔
2 Samuel 5:4-5
"4 David was thirty years old when he became king, and he reigned forty years. 5 In Hebron he reigned over Judah seven years and six months, and in Jerusalem he reigned over all Israel and Judah thirty-three years."
....
Huyo mfalme David, kwenye Biblia, kitabu cha Samuel, aliyetawala Hebron, West Bank na Jerusalem, Israeli. Hakuwa mpalestina bali ni myahudi. Hiyo ni zaidi ya miaka elfu 3 iliyopita. Kipindi hicho hata neno Palestina halikuwepo hata kwenye misamiati ya kipindi hicho!
Our slogan :
Because we are Christians, Believing in Bible, we stand with Israel. 🇮🇱
Haziendani Dna, Wanaoendana Dna ni Mizrahi na Sepharidic Jews ambao walikua ni wayahudi ila wanaishi jamii moja na waarabu.Hao unaowaita wazungu wakipimwa DNA na hao wayahudi wa middle east zinaendani
Hivi huko shuleni huwaga mnasomea nini
Wayahudi wameisha ulaya zaidi ya miaka 1500 ila hawakubadilisha tamaduni zao ndo maana hata hitler alipotaka kuwaua ilikua rahisi kuwatambua
Hiv wewe unafaham gorilla war ni sawa na vita vya jeshi na jeshi sio. Hao Hamas wangekuwa wanavaa gwanda za jeshi wanakutana live ndio ungeuona mziki. Hata hivyo hao Israel wamejizuia sana maana wangekuwa wanasema waue live hakuna binadamu angebaki hapo Gaza. Hata ukiangalia video za wanajesh wa Hamas wamevaa kiraia wamejificha kwenye makaz ya watu. By the way ushawasikia Hamas wakitangaza wanajesh wao mpaka sasa wamekufa wangap. Ugenius ni pamoja na kuchukua eneo Katikati ya mataifa zaid ya kumi na wote wakakaa sio ishu lelemama kama unavyofikir.Mbona swali langu lilikuwa rahisi tu mkuu? Israel hiyo ya magenius imefanikiwa kwenye lipi kwa nyanja yeyote kuanzia Uchumi, Michezo na Utamaduni?
Huo U-genius mbona umeshindwa maliza vita au hata kuibeba hiyo Gaza jumla jumla miaka na miaka?
Kwan wanaotawala Israel ni hao Ashkenazi peke yao chief. Hawa kina marehem Simon Peres Izak Rabin walikuwa Ashkenazi. Kwanini mna ugonjwa uzungufobia.Haziendani Dna, Wanaoendana Dna ni Mizrahi na Sepharidic Jews ambao walikua ni wayahudi ila wanaishi jamii moja na waarabu.
Hao wayahudi waliokuja middle East karne iliopita Dna zao hazifanani na watu wa Middle East, kwa Baba Dna ni 0 na kwa mama unaitafut kwa tochi labda 3%, huku Africa Kuna watu Wana Dna ya Kiyahudi kubwa kushinda hio Ashkenazi, ndio maana Dna zinakuwa Banned Israel Kupima.
1. Hao Jews wa Iraq na wengine Nchi za Kiarabu unajua Historia yao walifikaje Israel? Ma Zionist walitega mabomu Makazi yao na kuwaua, walisababisha machafuko Mashariki ya Kati yote ili wahamie Israel na wakafanikiwa, hilo ni kujipa Legitimacy na kuidanganya Dunia kwamba hio ni Nchi ya Kiyahudi, ila wanaoongoza hio Nchi yaani Ashkenazi sio wayahudi wa Asili.Tatizo lako hauongei kwa kufikiri unaongozwa na chuki za Madrasa tu. Kama umewah kufika Israel utagundua vitu ni tofauti na story mnazolishwa huko Madrasa chief. Israel inao Ethiopia Jews wa kutosha tena mpaka jeshin. Wapo Arabs Jews mpaka jeshin wapo Iranian Jews mpaka jeshin wapo Jews wa kihind Moroccan uzungun na hata Yemenis. Wapo mpaka majews wa kiafghanistan. Hao Jews unaoona walioletwa hapo kutoka uzungun ndio wale waliokuwa wanauawa huko walikotoka kwasababu ya nasaba zao na jealous za mafanikio yao. So Jews wa maeneo mengine hawakuwah kuuwawa zama za karibun ndio maana hawakuwa na haja kurud kwao. Hiyo kuuwawa ni kawaida Mzee haimaanisha sio binadamu wanauwawa na wenyew wanaua. Wametawaliwa na kuwa free kwa vipind tofauti. Na sasa wanatawala itakuja kipind nao watatawaliwa. Ni kawaida sana. Kabla hujazungumzia misaada wanayopata zungumzia huko misaada inakotoka ni akina nani wanasimamia hizo taasisi za misaada. Wenzio wamewekeza kwenye maeneo nyeti nchi za kiume.
Huyo kijana mimi nilipogundua kuwa ni mjinga, basi nikamuacha tu abaki na ujinga wake.Sasa kwanini Sayansi inaonesha Mpalestina wa Leo ndio ana Dna ya Saudi na Suleiman na Yesu? Na hao Mnaowaita wayahudi Dna zao ni sawa na W Ukraine na wengine wa Ulaya Mashariki?
Yaani Yesu aje hilo eneo watu wabadili Dini waweza wakristo, wakae hapo maelfu ya Miaka Leo wanauliwa hao watu na kupotezwa kabisa Duniani huamini kama hao ni wayahudi wa Kale, Ila Wazungu ambao they have Nothing to do With Mashariki ya Kati unaamini ni Wayahudi?