Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,558
- 64,966
Jitathmini wewe mwenyewe hapo ulipo, chochote ulichokivaa hapo kimetoka wapi?Sio kweli...ila kwa asilimia 50 wazungu ndio wameishape Dunia the way ilivyo sasa.
waafrica mnalaanaJitathmini wewe mwenyewe hapo ulipo, chochote ulichokivaa hapo kimetoka wapi?
Tumelaaniwa na nani?waafrica mnalaana
Hoja ina utata mkuu. Maendeleo hayakutokana na jamii moja pekee; ustaarabu umejengwa kwa mchango wa mataifa na jamii mbalimbali duniani. Kila upande una nafasi yake.Inawezekana kabisa, bila wazungu na wabunifu wengine huko duniani, mapaka leo tungekuwa tunapikia vyungu badala ya masufuria.
Tungekuwa tunavaa magome ya miti badala ya nguo nzuri na suti tunazovaa leo.
Tungekuwa tunatembea peku, kwa sababu bila wao sisi hatuwezi kutengeneza viatu.
Tungekuwa bado tunatumia usafiri wetu wa punda,mikokoteni ya matairi ya mbao n.k kwa sababu hatujui kutengeneza vyombo vya usafiri.
Ustaarabu tulionao usingekuwepo, tungeishi kama ngedere waishivyo porini.
Mifumo ya shule, vyuo, utawala, bank, mahakama n.k visingekuwepo; tungekuwa porini tukiwinda ndege kwa ajili ya kitoweo tu.
Kompyuta, simu n.k tunazozifurahia, zisingekuwepo.
Kweli, bila wazungu maisha yangekuwa magumu sana hapa duniani.
Laana. ni upungufu wa maarifaTumelaaniwa na nani?
Kupata mahitaji yote ya msingi na kuishi katika mazingira boraMaisha bora yanamaanisha nini?
Wametupa ustaarabu wa kujistiriWale madomo zege wangekuwa wananeemeka, maana kwa jinsi viungo vingekuwa nje nje kusingekuwanna na haja ya kutongoza.
Kubaka kungekuwa mpango mzima.
Ni maoni yangu tu jameni.
Bora tungebaki kama tulivyokuwa mkuu.Wametupa ustaarabu wa kujistiri
Waliokuja mara ya kwanza na kutukuta tunavaa magome ya miti, walikuwa kina nani?Hoja ina utata mkuu. Maendeleo hayakutokana na jamii moja pekee; ustaarabu umejengwa kwa mchango wa mataifa na jamii mbalimbali duniani. Kila upande una nafasi yake.
Inabidi tukawashtaki, waturudishe tulikotokawe was happy
unatoka zako asubuhi na magome yako ya miti kiunoni uaenda kuokota mihogo unarudi nyumbani unachemsha unakula kisha unalala
Tunarudi taratibu kule tulikotoka kitabia, kwa kupoteza ustaarabuBora tungebaki kama tulivyokuwa mkuu.
Sidhani.Tunarudi taratibu kule tulikotoka kitabia, kwa kupoteza ustaarabu
hata zamani afrika kulikuwa na viwanda vya nguo, acha kukalili eti kila jamii za kiafrika walivaa magome. hata hizo nguo zenyewe marekani naye kwa asilimia kadhaa anaagiza toka Nigeria. Nigeria kuna viwanda vya nguo grade A za kiasili.Jitathmini wewe mwenyewe hapo ulipo, chochote ulichokivaa hapo kimetoka wapi?