akili mwili mzima
JF-Expert Member
- Nov 13, 2025
- 2,662
- 5,558
We ndo huna akili kbs, sasa ccm wanatumia akili au wanatumia dola (mabavu)?!.Hawa NYUMBU wa Chadema huwa nawaambia CCM haipo kwa security agency Ila Akili kubwa
Hata boss wako unayemfanyia Kazi ujue kakuzidi akili ndo maana anakutumikisha simple mathematics
Ukiona MTU anakutawala au anakutumikisha ujue kakuzidi akiliWe ndo huna akili kbs, sasa ccm wanatumia akili au wanatumia dola (mabavu)?!.
Ingekuwa inatumia akili bila mabavu samuya ungekuta leo yeye sio rais wa Tz...mbinu zao za kijinga (akili??) kusalia madarakani zimeshabainika kwa sasa ni mabavu tuu ya yanawaweka mjn ambayo nayo tutayapatia ufumbuzi ili hatimaye twende sawa!!.
Ningekuelewa iwapo ungesema jeshi letu la polisi wote hawana akili maana wanatumika kuwaweka madarakani watu wachache (cccm) wanakula keki ya taifa huku lenyewe likibaki na maisha duni!.
Hebu onesha CCM inatumiaje akili kubaki madarakani .Ni Nadra wewe unayetumia nguvu umzidi anayetumia akili.
Siwezi Ku-exposé taarifa Kama hizo hapa JF kwakuwa sikujui unataka niwe on trouble , right !?Hebu onesha CCM inatumiaje akili kubaki madarakani .
Kama wizi kura kwa kutumia polisi ni akili tusingekuwa na tatizo la maji baada ya miaka 60 ya "akili"Hawa NYUMBU wa Chadema huwa nawaambia CCM haipo kwa security agency Ila Akili kubwa
Hata boss wako unayemfanyia Kazi ujue kakuzidi akili ndo maana anakutumikisha simple mathematics
Akili sijui kwake ni nini!?Kama wizi kura kwa kutumia polisi ni akili tusingekuwa na tatizo la maji baada ya miaka 60 ya "akili"
Usijipe umuhimu usiokuwa nao.Siwezi Ku-exposé taarifa Kama hizo hapa JF kwakuwa sikujui unataka niwe on trouble , right !?