Uchaguzi 2020 Bilionea Daniel Shilla wa CHADEMA atakiwa kuripoti polisi Ifakara baada ya kuandamana bila kibali

Kutokujua sheria nalo ni kosa.
Shilla anatakiwa kusoma sheria ya uchaguzi inasemaje, lakini pia na ile ya kukusanyika na maandamano.

Labda kama ni kiki za kujitangaza kupitia misukosuko sawa.
 
Hivi tuna mabilionea wangapi hapa nchini.
 
Huyu ameanza kampeni kabla ya muda, hivyo atawekewa pingamizi na kutupwa kabla ya muda, sijui kwa nini hawa wapinzani hawasomi kanuni na sheria za uchaguzi.
Ubinafsi na umimi hautawafikisha popote
 
Wakati huohuo kina steve nyerere wapowapo tu
 
Kwanza huyu bwege si bilionea,analipa kodi kweli huyu?
 
Sadaka hizi kwa watumishi zinaqafanya warukwe na akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…