secret file
JF-Expert Member
- Sep 10, 2019
- 5,843
- 8,637
kama ww unajua chemistry au biology au hesabu ni sawa.....Watu wanajua mpaka sugamamy wake ni nani, mkewe ni nani, wanae ni akina nani, wanae wa kufikia ni akina nani, n.k.
Si ajabu wanajua hata saizi ya viatu alivyokuwa anavaa..
Maneno ya masikini wakifarijiana. Heri yake aliyeuza nafsi akapata ubilionea kuliko mnaouza vipapaa mnaishia kukwaa miwaya. Ufukara mbaya sana.He sold his soul to the devil in exchange of money and power
Watakuelewa wachache sanaWaafrika wengi huwa tukifanikiwa kidogo tu huwa tunakuwa na show off/life style za kishamba sana kwangu Mimi hii huwa natafsiri Kama muhusika ana roho ya kimaskini tu japo amefanikiwa kwenye maisha
Watu Kama hao akina late hapo, Mayweather, hushypupi na waafrika wengine wengi waliofanikiwa sana ni sign ya akili ndogo ya mwafrika
Mtindo wa maisha ya hawa watu ndiyo chanzo kikubwa cha utajiri wao kutodumu au maisha yao kuwa mafupi
Ni ushambaBabu sio ushamba sema tu ndo washakukera,,Akina CR7, ni wazungu, D Beckham,akina zlatan na wenzake,Roman abromovic ulishaga mfuatilia,...ukishapata pesa matumiz yake lazima maskini tukereke tu,Akina drake wanalaliza mattress ya zaidi ya mil.900,hujawaona hao..
Afrika ni full vituko.Halafu unakuta wanaishi maisha ya kuungaunga,pesa ya kishirikina huwezi kuishi maisha ya kula bata.
Moto si umesababishwa na shoti ya umeme wa gari kama ilovyotokea kwa Paul WalkerHuo moto umetoka wapi sasa
Ila kuna mauti ya kujitakia..unajua party za wenzetu matajiri,mipombe expensive ya kila aina..halafu unaingia kuendesha unatarajia nini?Kila nafsi itaonja umauti haijalishi ni Nani na una cheo gani.
Ila si kafa ..na kawekwa kweny kajeneza ka chuma tena nyuma ya tela ya toyotaTunasema #DIAMOND PLATNUMZ ni Socialite millionaire alaf magari anayotumia yote yakijapan MATOYOTA,, wakina Ginimbi ndio wanaume sasa,, gari yake aliyopiga nayo chin ndio thamani ya nyumba ya chibu
Ukiwa off naumiaga Sana warumi, we ni mtu wa MUHIMU sana kwenye hili jukwaaHilo nalo neno , kabla sijawa zilipendwa[emoji16][emoji16]
Ila uzuri umbea kila siku ni Mpya na watu wanapenda umbea so ni vigumu kuchuja, I know what my people want , huu mwaka wa 7 sasa humu JF na sijawah kuchuja na nimekua ON and OFF mda mrefu ila nikirud kiti changu bado hakuna wa kukikalia
Ukisikiliza sana bbc unaweza usitafute maishatunasemaga zimbwabwe maisha ni mabovu baada ya vikwazo,halafu tunafarijika na umasikini wetu mmoja mmoja[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
kumbe kuna nyandume wanakula bata mumo humo.
rip kibopa wa zimbabwe.
Alikuwa hana mkee wala watoto ...Na mamaake kafariki miezi mine iliopita
Wewe ndio umefafanua vema kumbe alikuwa rafiki wa Ivan kila nikiona Ginimbi wala nilikuwa sielewi. Nae ni mganda?kama wanaonanaga uko basi kesha kutana na rafiki yake kipenzi ivan the don maisha haya mafupi sana uwe masikini uwe tajiri, ulale ulipo jichagulia genius a.k.a ginimbi, pole zodwa mkandla kwa kumpoteza mume na baba watoto wako, pole zari kumpoteza shemeji na rafiki mkubwa wa marehemu ivan. rest in eternal peace G.
Juzi nimeona Lamborghini makumbusho nkasema kheeee!Ndo maisha yalivyo...hata bongo wanasema hali mbaya lakin ukikatiza maeneo utakutana watu unaeza shangaa
Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app
Waliachana na mkewe,hawakubahatika kupata mtoto,Moana ndiye alikuwa Mchumba wake mpya ila wamekufa pamoja.
Ila si kafa ..na kawekwa kweny kajeneza ka chuma tena nyuma ya tela ya toyota
Mkuu ndio mambo ya usosholaiti hayo kila kitu lazima u customize.Ni ushamba
Pia sikerwi na mafanikio ya watu
Mtu mwenye pesa kumiliki aset au vitu ambavyo ni expensive sana siyo tatizo na nikawaida tu
Hao uliowatolea mfano hizo habari zao zimejulikana kupitia udaku tu ila sio hao wenyewe
Sidhani kama Beckham au cr7 amewahi kupiga picha au kupost video akiwa na mabando ya pesa au kutuonyesha kuwa ana magari expensive sana zaidi ya 20 kayapaki tu uwani kwake
Ni roho ya kimaskini tu na ushamba huwa unawasumbua hao watu hamna kingine