TANZIA Bilionea Ginimbi wa Zimbabwe afariki Dunia

Hii comment imenichekesha![emoji2][emoji2]
washamba kiaje
Waafrika wengi huwa tukifanikiwa kidogo tu huwa tunakuwa na show off/life style za kishamba sana kwangu Mimi hii huwa natafsiri Kama muhusika ana roho ya kimaskini tu japo amefanikiwa kwenye maisha
Watu Kama hao akina late hapo, Mayweather, hushypupi na waafrika wengine wengi waliofanikiwa sana ni sign ya akili ndogo ya mwafrika
Mtindo wa maisha ya hawa watu ndiyo chanzo kikubwa cha utajiri wao kutodumu au maisha yao kuwa mafupi
 
Kila siku nawaambia, narudia tena utajiri ni kile ulichokula, jamaa kama amepewa fursa ya kuangalia duniani atakuwa anasikitika ameacha hela nyingi!!?
 
Lakini ukiwa tajiri unakula vizuri,yaani kuna vitu tajiri anafaidi ambavyo sisi makapuku hatuwezi kuvipata,kusukuma yale madude kama vile ferrari,rolls royce,n.k unaambiwa jamaa kwenye ndinga yake alikuwa na watoto wakali
 
Sawa kabisa na utajiri wake ndio huo aliokula ndinga alizoendesha......
mademu wakali alio-honga na kugonga....
pombe alizokunywa.....
na misosi aliyokula....
ndio utajiri wake alivyoacha nyuma ni ziada
 
Anza sasa kabla nyota haijazima

Hilo nalo neno , kabla sijawa zilipendwa[emoji16][emoji16]

Ila uzuri umbea kila siku ni Mpya na watu wanapenda umbea so ni vigumu kuchuja, I know what my people want , huu mwaka wa 7 sasa humu JF na sijawah kuchuja na nimekua ON and OFF mda mrefu ila nikirud kiti changu bado hakuna wa kukikalia
 
We kwa umbeaaa nakutunuuku PhD ya umbea

Ova
 
Waafrika wengi huwa tukifanikiwa kidogo tu huwa tunakuwa na show off/life style za kishamba sana kwangu Mimi hii huwa natafsiri Kama muhusika ana roho ya kimaskini tu japo amefanikiwa kwenye maisha
Watu Kama hao akina late hapo, Mayweather, hushypupi na waafrika wengine wengi waliofanikiwa sana ni sign ya akili ndogo ya mwafrika
Mtindo wa maisha ya hawa watu ndiyo chanzo kikubwa cha utajiri wao kutodumu au maisha yao kuwa mafupi
Babu sio ushamba sema tu ndo washakukera,,Akina CR7, ni wazungu, D Beckham,akina zlatan na wenzake,Roman abromovic ulishaga mfuatilia,...ukishapata pesa matumiz yake lazima maskini tukereke tu,Akina drake wanalaliza mattress ya zaidi ya mil.900,hujawaona hao..
 
Kwataarifa huyu jamaa yako ni Malawi ni mwizi alitorokea Zimbambwe wakati walitaka kumkamata police...kibaka hatari.
Hivi unaelewa kingereza ww......
ww kweli kiazi muwe mnasoma na kuelewa kwanza kabla ya ku comment utopolo....
aliyetoroka Malawi ni Limumba Karim sio Kidungule!!!?
 
l read the article in passing thanx for correction but have cant see any reason calling me names anyway am ok.
Hivi unaelewa kingereza ww......
ww kweli kiazi muwe mnasoma na kuelewa kwanza kabla ya ku comment utopolo....
aliyetoroka Malawi ni Limumba Karim sio Kidungule!!!?
 
View attachment 1622145
Dah atayerith hiz mali atafaidi
Alisha waambia nduguze akifa jumba lake libaki kama makumbusho......
pia alishawaambia kama akifa asizikwe haraka.
mpaka marafiki zake wote wanaotoka sehemu mbali mbali duniani wafike....
na siku ya mazishi wote wavae nguo nyeupe yyte atakayeshiriki msiba awe kiongozi awe nani!.... wote nyeupe...
msiba unaanza rasmi alhamisi anazikwa jmosi
duuh!huyu jamaa ni kama alijua anaelekea chini sio kwa maelekezo kama yote....
hii stori nimesikia kutoka kwa dada yake
 
Back
Top Bottom