TANZIA Bilionea Mathias Manga afariki dunia

Pole sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wandugu msichanganye mambo,hao wanaotajwa ni watu maarufu,je mnatakwimu gani za vifo vya watanzania kwa nchi nzima?!

Naona watu wa Moshi/Arusha wanaongelewa sana.
Tutafakari mambo kwa upana kabla hatujaandika.
 
kwa hapa moshi mimi nimehudhuria misiba saba ndani ya wiki tatu kwa ufupi karibia kila mtu amefiwa na mtu wa jamii,ila vifo vingi ni vya wazee 60+
 
Manyire ndio wapi hapa tz
 
Mungu awafariji wote walioguswa na msiba huu

Pumzika Mathias
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…