TANZIA Bilionea Mathias Manga afariki dunia

TANZIA Bilionea Mathias Manga afariki dunia

Arusha na Kilimanjaro kunani wazee...!! Maana mnamfata mwendazake Kwa speed ya 5G mpaka sio poa

Hawakufanya sherehe hawa kweli?! Raha ya Milele iambatane na marehemu billionaire kama ubillionaire wake si wandago.
 
Dah Kaka yangu wa damu Ndugu yangu mpendwa tulipanga mengi kwenye msiba wa Baba miezi 2 tu imepita. Mungu ameamua.

Najua utaliza wengi Arusha na pale kijijini kwetu Manyire. Natangulia kukusubiri uletwe nikupumzishe.

Tangulia Kaka tangulia. Mungu ametenda.
Pole mkuu
 
Hivi gold crest ni ile ipo mitaa ilipo kibo palace au ile ipo arusha moshi road??ambayo ipo kama imetelekezwa??majina yananichanganya
Karibu na madini, au Kibo palace, ya Moshi road ni Snow crest
 
Dah Kaka yangu wa damu Ndugu yangu mpendwa tulipanga mengi kwenye msiba wa Baba miezi 2 tu imepita. Mungu ameamua.

Najua utaliza wengi Arusha na pale kijijini kwetu Manyire. Natangulia kukusubiri uletwe nikupumzishe.

Tangulia Kaka tangulia. Mungu ametenda.
Pole sana Mkuu
 
Back
Top Bottom