TANZIA Bilionea Mathias Manga afariki dunia

TANZIA Bilionea Mathias Manga afariki dunia

Nani amekuambia amepigwa risasi ?alikuwa na shida za mapafu ( Pulmonary embolism). risasi alipigwa mwaka 2016 na watu wasiojulikana
Kwani alilazwa muda mrefu ?Maana Pulmonanry embolism inatokana na thrombosis ikifanikiwa kufika kwenye mapafu. Na Thrombosis (damu kuganda huwapata watu waliolala tu.Watu ambao hawapo active. Hasa wagonjwa wa Corona wanaokaa hospital muda mrefu ndo maana wanapewa Lovenox n.k
 
Mkuu kijijini kwetu watu wamebakia wachache sana, nyumba nyingi kuliko watu, na nyingi zipo tupu

Poleni sana kwa msiba, Mola awape pumizko lenye mwanga na Amani ya milele wote waliotangulia mbele ya haki. Ameen.

Tunaomba basi muwe mnatupia na picha!

Huu ni ulimwengu wa visual digital which means ni rahisi sana suluhisho kupatikana endapo tangible evidences zinakuwepo!

Tupieni visuals (be it vids or dig-pics) za nyumba nyingi tupu na uchache wa watu, pls.

Na kila msiba mnaohudhuria unaotokana na cv-19.

...
 
Kwani alilazwa muda mrefu ?Maana Pulmonanry embolism inatokana na thrombosis ikifanikiwa kufika kwenye mapafu. Na Thrombosis (damu kuganda huwapata watu waliolala tu.Watu ambao hawapo active. Hasa wagonjwa wa Corona wanaokaa hospital muda mrefu ndo maana wanapewa Lovenox n.k
Ww Victoire toka utuambie Magu anaelekea kupata nafuu ghafla tukaambiwa amebinuka sikuamini tena......
 
Back
Top Bottom