TANZIA Bilionea Mathias Manga afariki dunia

TANZIA Bilionea Mathias Manga afariki dunia

Dah Kaka yangu wa damu Ndugu yangu mpendwa tulipanga mengi kwenye msiba wa Baba miezi 2 tu imepita. Mungu ameamua.

Najua utaliza wengi Arusha na pale kijijini kwetu Manyire. Natangulia kukusubiri uletwe nikupumzishe.

Tangulia Kaka tangulia. Mungu ametenda.
Unaomboleza kama wanyakyusa.

Pole sana mkuu...Mungu akupe ujasiri.
 
Kama HUyu aliebakia fisi
Baba ayupo mama ayupo kaka ayupo sijui atatoa Nani kha
Kdn
 
Lazima nishangae sababu alikuwa mwema kwa watu wengi
Sawa, taharuki ni kawaida msiba ukikugusa, ila umauti hauchagui, mwema ama muovu, tajiri ama maskini.

Mungu anatwambia anaetenda wema anajitendea mwenyewe, basi atayakuta mema yake huko aendako.
Tuishi kwa wema, tutende mema.
 
Sawa
 
Kwahiyo UVIKO ukiwa na vijisenti kidogo lazima itambae na wewe, duh basi bora kuwa wanyonge tu kama wale wa mtaji wa chama cha mbogamboga ili angalau tuishi kidogo
 
Aisee vifo vimekua vingi sana kwa kweli...
Vingi sana Kama mimi huku Arusha toka mwezi wa saba katikati mpaka leo , nimepewa taarifa ya vifo zaidi ya 10 vya watu amabao hatuko karibu lakini wako karibu na watu walionipa taarifa. Kuhusu Moshi nimeamua siendi tena Kama sina safari ya lazima. Moshi hakufai yaani
 
Back
Top Bottom