mama D
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 19,981
- 35,581
PowaaaTutafutane, msiba ni kufarijiana... Hahahahaha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
PowaaaTutafutane, msiba ni kufarijiana... Hahahahaha
Marehemu sio kwa barakoa yeye kama baba wa taifa.Hajauawa msichanganye habari ya 2015 alivojeruhiwa kwa risasi na habari ya kifo chake,kaugua kapelewa south ndio kafia huko.
Ongeza nyama kidogo mkuu.Marehemu sio kwa barakoa yeye kama baba wa taifa.
Sio Covid -19?Nani amekuambia amepigwa risasi ?alikuwa na shida za mapafu ( Pulmonary embolism). risasi alipigwa mwaka 2016 na watu wasiojulikana
Kitimoto na pombe...leads to body inflammation, na watu wa huko nafikiri unawajua kwenye nguruwe na pombe. So wengi wana underlying conditions, corona inacheza nao.Arusha na Kilimanjaro kunani wazee...!! Maana mnamfata mwendazake Kwa speed ya 5G mpaka sio poa
Wanasema chanjo poa inaleta thrombosisKwani alilazwa muda mrefu ?Maana Pulmonanry embolism inatokana na thrombosis ikifanikiwa kufika kwenye mapafu. Na Thrombosis (damu kuganda huwapata watu waliolala tu.Watu ambao hawapo active. Hasa wagonjwa wa Corona wanaokaa hospital muda mrefu ndo maana wanapewa Lovenox n.k
Alipishana nini na Mwendazake?Wanaoishi NH Arusha mitaa ya nyuma za ofisi za ccm ngarenaro bila shaka watakuwa wanafahamu kasiri laki alilokuwa anaishi.
Nakumbuka mfanya usafi wa pale kipindi nikiwa mdogo kwa mara ya mwisho nimemuona jamaa anamuendesha Marehemu .Huyu hasemwi vizuri kwa sababu amekufa la hasha jamaa alikuwa mtu mwenyewe roho ya kipekee
Pia alipishana na serikali ya mwendazake kilichomkuta watu wa sakina wanaelewa nini kilitokea kwenye jengo lake ambalo lingekuwa na ghorofa refu kwa kanda ya kaskazini
Ni very very rare.Wanasema chanjo poa inaleta thrombosis
FRESHO ambae pia alikuwa kawekeza shinyanga?
Ila nyie watu wa ARUSHA na KILIMANJARO mna matatizo! Mimi ndio FRESHO na kila siku nafanya mazoezi pale JOSHONI! Yule aliyefariki alikuwa ni mfanyakazi wangu.Iliyokua East Africa hotel zamani.
Matajiri wanasepa si mchezo,LaSwai mwenye kibo palace yeye tulikua nae msibani kwa fogo mwenzao mwingine aitwae FRESHO huko kijijini.
nadhani ubilionea wao ni kwa Tshs sio USDArusha kila mfanyabiashara mkubwa wa madini anaitwa bilionea hatakama hana USD 1billion yaani Tsh trilioni 2.3
Huyu so called billionaire anamiliki nini huko Arusha au kwingineko?Arusha na Kilimanjaro kunani wazee...!! Maana mnamfata mwendazake Kwa speed ya 5G mpaka sio poa
ipo karibu na kibo ilikuwa ikitwa eastafrika zamani yeye akainunuaHivi gold crest ni ile ipo mitaa ilipo kibo palace au ile ipo arusha moshi road??ambayo ipo kama imetelekezwa??majina yananichanganya
Arusha kila mtu ni billionare brother... Cha msingi uwe na mnyongo na wakuone one mererani ukichenjua tanzaniteHuyu so called billionaire anamiliki nini huko Arusha au kwingineko?
We komaa na SHIRECU tu mzee babaIla nyie watu wa ARUSHA na KILIMANJARO mna matatizo! Mimi ndio FRESHO na kila siku nafanya mazoezi pale JOSHONI! Yule aliyefariki alikuwa ni mfanyakazi wangu.
inamilikiwa na SHIRECU.,😄😄😄
SHIRECU ilishajifia! Watu walibeba hadi ELFU HAMSINI walizokuwa wamebakiza miaka ile 😂😂We komaa na SHIRECU tu mzee baba