TANZIA Bilionea Mathias Manga afariki dunia

TANZIA Bilionea Mathias Manga afariki dunia

Huu ugonjwa tusiache kujifuki-a,inasaidia sana tena sana,usidharau ushauri wa marehemu alikuwa kama ni nabii,Akiwa hai hata chanjo ya mama na mtoto ilikuwepo ila kwa sasa unaambiwa Sirikali haijaleta chanjo maana haina fungu la chanjo na hali kila kukicha twaona makongamano na ma warsha kila kona na ufungusi wa miradi mbalimbali utadhani wageni waalikwa hawapewi posho.
KAMA KUNA MTU ANA MKONO KWA KIFO HA MWENDA -KE,MUNGU ANAKUONA,NATAMANI AKUONDOE AU KUKUONDOLEA WATOTO WAKO WOTE
 
RIP Mathias Manga ulikua ni binadamu mwenye roho yako nzuri . Wafanyabiashara wengi watanzanite ni wakatilii wakikukuta na kipande cha tanzanite kama kipunje cha mahindi hata iwe ni magonga unapigwa Shaba au unafanyiwa mpango ufungwe wanazaa zaa na kila mwanamke na kutelekeza watoto lakini wewe ulikua tofauti mwenyezi Mungu akupe pumziko la Milele, Amina🙏
 
tameer,usishangae maana nami yalinikuta ila nimeponeshwa na tiba ya marehemu bila kukanyaga hospital,nnmeteseka ila nimeponeshwa na kujifuki-a
 
Back
Top Bottom