Bilionea Mulokozi anunua helikopta binafsi, atua Manyara, Wananchi wafika kumpokea

Ameunguza maini ya vijana wangapi

Salamu kwa mlevi ona vibopa wanakua matajir wewe unakunywa mataputapu afya yako ikikongoreka
 
Ameunguza maini ya vijana wangapi

Salamu kwa mlevi ona vibopa wanakua matajir wewe unakunywa mataputapu afya yako ikikongoreka
 
Mbaya ni ujambazi na mauaji lakini pombe zilikuwepo hata enzi za mababu zetu (mbege, rubisi, ulanzi, n.k)
 
Huyu anatakiwa achangie sana kodi maana maini na figo zinazokufa bwcause of alcohol ni significant

Hii faida ni kubwa but kuna costs za dialysis nazo awe anachangia
 
Ndege=Aeroplane
Helikopta(Edikopta🤔🥺)=Helicopter
 



Achana na mambo ya Dini

Tafuta ela, pata ela enjoy Maisha

Hakuna mtu alienda mbinguni akarudi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…