Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nawaza mtu unawezaje kuwa na furaha huku hela zako unazipata kwa kudhuru watu?
unauza pombe, una kampuni ya kubet...
sawa hulazimishi mtu lakini hivyo vitu unavitengeneza kwa namna inayoleta uraibu ili upate pesa nyingi
na unavitangaza kabisa
hii inakaaje?
siwezi Mimi kufanya hivyo....Kabisa mkuu, tusimwangalie kwa jicho la husda
Pongezeni,acheni uchawiTanzania Hii
Mulokozi Poa
😂😂 Daaa!!!🙏🙏 Heshima kwako mkuu😂😂😂bilionea mkaanga maini ya vijana , ndio ujue kuwa mipombe inafakamiwa sana yaani jamaa kauza viroba sijui visungura hadi kanunua ndege na wateja wake wakubwa ni hawa hawa maafisa usafirishaji aka bodaboda. Mungu alisaidie sana taifa la Tanzania.
Jamii ya vile vinywaji ukinywa unakunja uso kama umelamba ndimu.hebu wekeni picha
Hahaha nimechekaWanywa Zed mnaona buku mbili zenu zinachoweza kufanya?