tweenty4seven
JF-Expert Member
- Sep 21, 2013
- 15,863
- 19,626
Hiyo rubi ya mundarara inakua kwenye mawe makubwa kama ya kujengea,then unaanza kulivunjavunja ili kutafuta ruby ....ni process istoshe pesa yake ni ndogoNdugu mtanzania mwezangu TANI TANO za RUBY walizitoa shimoni na Crane ama
Aisee kitoabu njoo mara moja utupe muongozo
Hapo wamepasua mawe makubwa makubwa halafu unaanza kulichambua kwa kulivunja ndio ukutane na viruby vidogo gram 1 au 2....unaweza kutumia miezi kuchambua huo mzigo ni kazi ngumuTani 5 za Ruby=bilioni 1.7? hebu wataalamu wa madini njoeni mtupe ufafanuzi hapa
Maana naona na siasa imeingizwa humohumo
Ruby ya msumbiji ni hatari kwa rangi na thamani,huo mwamba wa longido ni ruby iliyoungua thamani yake ndogo sanahata mi nimeshangaa manake ni story tofauti na aliyotuletea komredi kitoabu kuwa ruby kidogo tu utajili hoop sasa tani tano si useless kabisa michanga iyo
Hizo Zina it was ruby zoisite zinapatikana longido,mundarara zinauzwaga kwa kgTani tano bilion moja [emoji15][emoji15]
Tatizo ruby ya mundararaHapo wamepasua mawe makubwa makubwa halafu unaanza kulichambua kwa kulivunja ndio ukutane na viruby vidogo gram 1 au 2....unaweza kutumia miezi kuchambua huo mzigo ni kazi ngumu
Zinauzwaga kwa kgNdugu mtanzania mwezangu TANI TANO za RUBY walizitoa shimoni na Crane ama
Aisee kitoabu njoo mara moja utupe muongozo
Caboshon zake hazichomeki alafuRuby ya msumbiji ni hatari kwa rangi na thamani,huo mwamba wa longido ni ruby iliyoungua thamani yake ndogo sana
Roho ya hiii itakupeleka wapi wewe 😂😂😂Nikishaona mtu anaanza kutanguliza shukrani kwa awamu ya 5 na Rais basi kanipoteza.
Sitotilia maanani asilani!
Hahahahahahah.......madini yanayonunuliwa kwa tani yanatofauti tani mchanga wa mchanga? JF bana.Ndugu mtanzania mwezangu TANI TANO za RUBY walizitoa shimoni na Crane ama
Aisee kitoabu njoo mara moja utupe muongozo
bila shaka ni captions za ruby maarufu kitanzania wanaita {kaboshoni} sijui walitohoaje aisee..Ndugu mtanzania mwezangu TANI TANO za RUBY walizitoa shimoni na Crane ama
Aisee kitoabu njoo mara moja utupe muongozo
nahisi ni ruby captions..hata mi nimeshangaa manake ni story tofauti na aliyotuletea komredi kitoabu kuwa ruby kidogo tu utajili hoop sasa tani tano si useless kabisa michanga iyo
Yap kweliWatu wengi hawajui madini. Wanafikiri kila madini ni dhahabu au Tanzanite .
Hayo madini hayana kipimo cha dhahabu ni madini yanayodhaminishwa kwa kg.
Hzo zinaitwa ruby zoisite,mwamba wa kijani una matone ya rubynahisi ni ruby captions..
Precious gemstones zinauzwaga kwa grmHahahahahahah.......madini yanayonunuliwa kwa tani yanatofauti tani mchanga wa mchanga? JF bana.
Wanauza kwa gram ila zile zenye rangi nzuri,Tatizo ruby ya mundarara
Zinauzwaga kwa kg
Ova
Hzo zinaitwa ruby zoisite,mwamba wa kijani una matone ya ruby
Caboshon zke zinatoka kma zilivyo Sema Mara nyingi soko lk guru
Ova
Grm SawaWanauza kwa gram ila zile zenye rangi nzuri,
Wengi tu kna mdau humu jf miaka ya nyuma nlipiga naye deal alikuwa anachimbisha hkonashukuru kwa highlight mkuu.....na nafikiri watu wenye huo mzigo ni wengi tu..
Ruby zoisite hata tan 10 unapata ukipiga kazi