tweenty4seven
JF-Expert Member
- Sep 21, 2013
- 15,863
- 19,626
Hiyo rubi ya mundarara inakua kwenye mawe makubwa kama ya kujengea,then unaanza kulivunjavunja ili kutafuta ruby ....ni process istoshe pesa yake ni ndogoNdugu mtanzania mwezangu TANI TANO za RUBY walizitoa shimoni na Crane ama
Aisee kitoabu njoo mara moja utupe muongozo