Ulaya huko yananunuliwa kama njugu na kufanywa misikiti.Hapana nyie ndo mnaumwa ukristomophibia. Ushawishi kusikia Sisi tunatajana mkristo kafanya kile na kile.
Sisi siyo watu wa Show off. Ndo maana Hata makanisa yetu tumeyaficha kabisa. Ukiwa na Shida ulitafute. Na Hakuna anayekualika uje kusali.
Kanisa moja Takatifu la Mitume
#Repost @wasafifmIla uzuri dhambi nyingi zipo huo upande wenu uliokosa maadili, hadi wachungaji wenu wametamka wazi wazi makanisani
Tusiende mbali , hapo Zanzibar watakuchomaWakristo msinune,mkajenge kanisa Saudia
Usilete vichekesho, kuna anaeijuwa elimu zaidi ya Muislam? Kuna anaeijuwa afya zaidi ya Muislam?Wajinga wa dini wamebaki Waafrica tu, watu wenye akili walishashtuka siku nyingi dini ni project za watu.
Kuna taasisi za kiislamu kazi yake ni Kujenga misikiti na kuchimba visima tu vya kuchambia, hawana muda na maswali ya afya wala elimu.
Health and educationUsilete vichekesho, kuna anaeijuwa elimu zaidi ya Muislam? Kuna anaeijuwa afya zaidi ya Muislam?
Hayo maneno "elimu" na "afya" bila kuletewa na Waislam usingeyajuwa leo hii. Kumbuka hilo.
Vipi wewe ukienda chooni huchambi?
Mungu akunyime vyote lakini akupe akili.Ulaya huko yananunuliwa kama njugu na kufanywa misikiti.
Waliwaletea Ukristo washajielewa kuwa waliwaletea uongo tu.
Oh I see, you noiw prefer the dicussion to be in English? Very good. Read:Health and education
Those are Islamic and Arab words, according to Jihadist Faiza Fox.Health and education
bahati nzuri hata neno "akili" usingelijuwa isingekuwa Waislam kukufundisha.Mungu akunyime vyote lakini akupe akili.
Pale Uhuru street karibu na round about ya Msimbazi ukiwa unatokea West side to Congo street, palikuwa na kanisa la Assemblies of God upande wa kushoto miaka mingi, kwa sasa hilo kanisa halipo Tena kuna mafremu tu ya biashara kanisa liliuza jengo lake.
Tatizo la Uislamu ni dini iliyojaza watu ujinga na kushindwa kufanya calculation nzuri.
Leo wewe njoo kwangu na mpunga wa kutosha unataka kuigeuza Nyumbani yangu kuwa msikiti nakukaribisha hata leo Leteni pesa niwaachie jengo.
Labda nikupe tafsiri ya kanisa labda hujui, kanisa la kristo siyo majengo, hekalu ni mwili wa Mkristo na kanisani ni popote ndugu wanapokutana na kuongea neno la Mungu.
Hizi ni site za wajinga wenzako kama wewe, hakuna mtu wa kupoteza muda kusoma ujingaOh I see, you noiw prefer the dicussion to be in English? Very good. Read:
Medicine and Medical Education in Islamic History
Submitted by Prof. Dr. Ibrahim B. Syed MEDICAL EDUCATION In 636 A.D., the Persian City of Jundi-Shapur, which originally meant beautiful garden, was conquered by the Muslims. Its great university a…historyofislam.com
We know you are engulfed in lies.Those are Islamic and Arab words, according to Jihadist Faiza Fox.
Satanic verses, I can't read.We know you are engulfed in lies.
Elimu, Afya and Akili. All those words are revived from the Qur'an. Don't forget that.
Did you ever read the Qur'an?
Kamtafute Avecena kwenye sites unazozijuwa wewe uje kusema ni nani huyo? Na kawacha athari ipi duniani hapa?Hizi ni site za wajinga wenzako kama wewe, hakuna mtu wa kupoteza muda kusoma ujinga
Mwanazuoni au mwanataaluma yeyote hatambulishwi kwa dini yake.
Ukiona sehemu kuna utambulisho wa dini kwenye taaluma basi hiyo ni takataka tu.
Halafu hawa Wairan si ndio maadui zenu mnawaita Mashia?
Unfortunately, you've been brainwashed and deceived by those who do not wish your wellbeing.Satanic verses, I can't read.
Ma Shaa Allah, adhana itasikika mpaka piccadilly circus.
Kama umefika London, Uingereza utanielewa nasema nini.
Acha kudanganya watu wewe mwehu.
Kwa sheria zipi za london hii adhana itasikika??
Hiyo ni not more than 50bps
Nuru ililetwa na Mungu mwenyewe wakati anaiumba dunia.Kamtafute Avecena kwenye sites unazozijuwa wewe uje kusema ni nani huyo? Na kawacha athari ipi duniani hapa?
Ukimaliza huyom kamsome Mama wa Kiafrika Fatma Al Fikhri wa Fez Morocco, halafu uje kusema ni nani huyo na kaacha athari ipi duniani hapa?
Nakushangaa mpaka leo hujaiona nuru ya Uislam.
Nusu ililetwa na Mungu mwenyewe wakati anaumba dunia.Kamtafute Avecena kwenye sites unazozijuwa wewe uje kusema ni nani huyo? Na kawacha athari ipi duniani hapa?
Ukimaliza huyom kamsome Mama wa Kiafrika Fatma Al Fikhri wa Fez Morocco, halafu uje kusema ni nani huyo na kaacha athari ipi duniani hapa?
Nakushangaa mpaka leo hujaiona nuru ya Uislam.
Wala hujakosea, tatizo wewe mpaka leo hujaiona hiyo nuru. Upo kizani.Nuru ililetwa na Mungu mwenyewe wakati anaiumba dunia.
Nusu ililetwa na Mungu mwenyewe wakati anaumba dunia.
Mwanzo 1:3
Mungu akasema, Iwe nuru; ikawa nuru.
Waliopo gizani ni wale wajinga wenzako majihadist wenzako wanaoamini kuna pepo yenye mito ya pombe na mabikira 72 ukiuwa watu.Wala hujakosea, tatizo wewe mpaka leo hujaiona hiyo nuru. Upo kizani.