Bilionea Mwislamu ashinda kibali cha kugeuza mojawapo ya maeneo maarufu ya London kuwa msikiti

Cha upekee ni nini?maana London ina matajiri wengi kutoka urusi wmewekeza pesa ndefu saana,
Sasa huyo Islam kujenga msikiti London,cha upekee ni kipi?au kwa sababu Islam kapata nafasi ya kujenga msikiti ndani ya nchi ya kikristo?
 
Usilete vichekesho, kuna anaeijuwa elimu zaidi ya Muislam? Kuna anaeijuwa afya zaidi ya Muislam?

Hayo maneno "elimu" na "afya" bila kuletewa na Waislam usingeyajuwa leo hii. Kumbuka hilo.

Vipi wewe ukienda chooni huchambi?
Kwamba wewe na waislamu wenzio ndo mnajua elimu na mmeelimika.Elimu ipi?Hii ya mabikra 72?Kuna kipindi huwa nikiangalia unavyoboast kuhusu elimu nacheka sana.Sitaki kuongea sana ila ukiniletea masheikh kumi PhD holders wa elimu ya dunia mimi nitakuletea mapadre Elfu moja PhD holders kutoka shirika la.wabenedikti Tanzania
 
Naturally waislam si wasomi wala wavumbuzi hata ile islamic golden age wavumbuzi wakubwa walikuwa ni wakristo waliolazimishwa kusilimu kuokoa maisha yao.Ushahidi upo na nature ya uvumbuzi na.teknolojia hata leo ina wenye nayo na hawajisifu
 
Inferiority complexities
 
We want to islamalized the Europe.
-Tunaingia Europe
-Tunazaliana sana
-Tukishakuwa wengi tunadai haki zetu
-Tunanunua makanisa yao na majengo yao tunageuza misikiti
-Tunaspread uislamu

Europe will be islamalized inshallah
Europe ikishakuwa islamized mnachukua credit za wasomi wazungu kusema.ni maendeleo ya uislamu.
 
Cha upekee ni nini?maana London ina matajiri wengi kutoka urusi wmewekeza pesa ndefu saana,
Sasa huyo Islam kujenga msikiti London,cha upekee ni kipi?au kwa sababu Islam kapata nafasi ya kujenga msikiti ndani ya nchi ya kikristo?
Marekani Warusi wako powerful kiuchumi na madeal, sasa ingekuwa ndio Waarabu hawa waislamu mbuzi wa kwa Mtoro kariakoo sijui ingekuwaje?
 
Kabla ya kushauri Wakristo wasiwachukie waislamu hebu tupe tafsiri ya makafir ni watu gani kwenye Quran?

Ukijibu ukweli nitanunuwa kitabu cha Quran kesho nianze kusoma uislamu dini ya haki.
 
Waislamu wapende na waheshimu pia Uwaombee sana , hawajui walifanyalo ni nini, hawajui ukweli hawajajifunza ukweli,!!!
I declare that all Christians must love all Muslims ....and respect them TUISHI NAO,,,,, WAISLAMU hawana shida na Mkristo Anaye wapenda na kuwaheshimu watamsikiliza
 
Naturally waislam si wasomi wala wavumbuzi hata ile islamic golden age wavumbuzi wakubwa walikuwa ni wakristo waliolazimishwa kusilimu kuokoa maisha yao.Ushahidi upo na nature ya uvumbuzi na.teknolojia hata leo ina wenye nayo na hawajisifu
Kabla sijajibu hoja yako Naomba kwanza nitajie hao wavumbuzi waliolazimishwa(as you claimed) , pengine sijui vizuri history or I have been brainwashed.
 
Tukitoka England tunaingia Italy [emoji634]
Lengo ni Islamization of Europe
 
Tukitoka England tunaingia Italy [emoji634]
ni Islamization of Europe
That will happen insha'Allah .

Uislamu ulikuwa powerful empire,ukaanguka sasa unainuka tena with unstoppable force.

Islamization of Europe will happen bila kujali wanapenda au hawapendi
 
Hakuna anayebisha Kwa hilo ni kweli hawa ni Yesu wawili tofauti kabisa

Yesu anayehubiriwa kanisani
1) Mwana wa Mungu
2) Mungu
3) Alisurubiwa Hadi kufa msalabani
4) Alimtuma mtume anayeitwa Paulo
5) Alikuwa na dini ya kikristo

Yesu wa ndani ya Quran
1) Hana baba( mimba yake ni Kwa neno la Mungu kama mimba ya Isaka )
2) Ni mtoto wa Mariam
3)Alipewa utume na Mungu Kwa ajili ya Wana wa Israel tu
4) Alipewa na Mungu kitabu Cha Injili
5) Alihubiri Mungu ni mmoja na sio 3
6) Alikuwa anasali Kwa kumsujudua Mungu wake
7) Alikuwa Muislam
8) Hajafa Wala hajasurubiwa msalabani

Yani hao ni Yesu wawili tofauti kabisa bro waulizeni waroma huyo Yesu walimpata wapi Hadi wakakuleteeni nyinyi
Isije kuwa ni products ya 666
 
Mnasubiri mzaliane ulaya muwe wengi muanzishe vikundi vya Kigaidi kama cha kule Kibiti halafu muanze kuripua maghorofa ya watu huko ulaya Mkisilimisha watu kwa upanga.Hivi unaamini wazungu ni wajinga kiasi hicho?
Mmeshindwa kuislamize Tanganyika ambako ratio ni almost 50/50 mnafikiria ulaya?Jiulizeni kwa nini Tanganyika rate ya conversion to islam ni ndogo.
Namna pekee uislam unaenea kirahisi ni kwa upanga na si kwa mahubiri.
Hapa Tanganinyika mkinionesha muhubiri wa kiislam anayehubiri kwa kuvuta umati wa watu 300 uwanja wowote (ambaye haongelei ukristo au kurefer kitabu cha wakristo).Najiua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…