Uchaguzi 2020 Bilionea Nabii Shilla ajitosa kumkabili Lijualikali jimbo la Kilombero kupitia CHADEMA

Potrobas Katambi, Vicent Mashinji, Dr Mollel, nk walipofikia bei wakauza utu wao niliona siasa ni upuuzi fulani hivi unaotumika kuwalaghai watanzania maskini hivi
 
Shillah ni kiumbe hatari. Chadema msiwe mnakubali kila kitu.
Huyu ananunuaga iphone au range n kuanza kujisifia kwenye instagram
 
Chadema hadi raha yaani. Kwanini nchi hii isibaki na chama limoja tu chadema?? Yaani utaona vijana wana furaha. Nguvu na ukakamavu wa hatari. Hiki chama Mungu akiweke miaka 800.
 
Siasa ni kama indicator muda wowote hubadilika rangi. Kwa makaribisho yale pale kilosa wiki mbili zilizopita na ninachokishuhudia hapa Kilombero mchuano wa 2020 yeyote anaweza kuchukua kombe...

Morogoro is still Red and blue...
Tupe mrejesho ukirejea matembezi ya Rais na Ya Nabii Shilla nani yuko juu?? Sema ukweli wako.
 
Rais hatagombea ubunge na wala watu hawatapiga kura kwa influence ya Rais
Lengo lake la kujipitisha lilikuwa ni hilo. Jpm bwana anajaribu kulazimisha kupendwa na vistori vyale vya kuoa wanawake mara amwage vihela fulani. Mara atumbue majibu uchwara yaani mlani tu ajaribu kuvuta attension asiyostahili.😁
 
Uzuri Gwajima amezoea kujitetea mwenyewe! Na Gwajima akipitishwa kugombea msithubutu kuqnzisha siasa za kupakana matope maana atawabutua hadi mjione hamfai. Mbowe mwenyewe anajua sana hilo.
Hata kwenye lile sakata la video yake ya kungonoka "...tuliona jinsi alivyoweza kujitetea mwenyewe kwa kutetewa na dola ikishirikiana na wachumia tumbo wachungaji wa kariba yake!!"
Kugombea ubunge inamaanisha kashushwa cheo na Mungu wake au kajishusha ili maslahi yake yatimie... (kwa mujibu wa kauli yake)
 
Aliewaroga kafa
Alipitangaza nia Gwajima,mlimsakama anachanganya dini na siasa,tapeli
Nabii katangaza nia tunaambiwa watu wataomba miongozo bungeni,yaani ushampitisha kabisa
 
BUNGE LA SASA
LITAJAA VIJANA WENGI KULKO MAELEZO
ÇM WATAZINGATIA SANA UMRI NA ELIMU
BUNGEN ATUPELEKI TENA WALE WA LA SABA NK WANAOBAKIA KUSAIN POSHO
BUNGE LITAJAA WACHUNGAJI KIASI WENYE HOFU NA MUNGU HAWA WAKO KABISA WAKISUBJRIA KUPITISHWA NA CCM

UCHAGUZI WA SASA UTAKUWA MWEPESI KULIKO.MAELEZOYAKE

UPINZAN BAADHI YA VIONGOZI WATATIFAUTIANA NA HAPO BAADHI YAO NA N WAKUBWA KABISA MNA9WAJUA WATAHAMIA CCM. SIKUCHACHE.KABLA YA UCHAGUZI....,

VIONGOZI WAKUU WENGI WA UPINZANI AMTOWAONÀ TENA BUNGENI THIS YR....WATÀISHIAKUTOA MAELEKEZO NJE YÀ BUNGEE....
 
Huyu hajachanganya dini na siasa wandugu? Mbona naona comment nyingi tofauti na alivyotangaza nia Gwajima? Tuache unafki kwenye nyeusi tuseme nyeusi haijalishi ni upande gan!
Aisee Mimi Ni CCM damu ila huyu kijana unampondaje kwa mfano? Gwajima hata CCM tutamtema nje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…