Uchaguzi 2020 Bilionea Nabii Shilla ajitosa kumkabili Lijualikali jimbo la Kilombero kupitia CHADEMA

Huyu kwa kazi anazozifanya za Unabii mamboleo, sitashangaa akiwa PANDIKIZI. Mkimpitisha huyu, Mgombea wa CCM hatapata UPINZANI wa Chadema
Hili ulisemalo hata mimi linanipa wasiwasi, na siwezi kukupinga kwani linawez tokea katika maeneo mengi tu ambako CHADEMA watasimamisha wagombea, hivyo inabidi CHADEMA wawe makini(kuna wataopitishwa kisha watanunliwa na kujitoa).

Kwa huyu,nina imani hawezi fanya hivyo hasa ukizingatia kaguswa na kitendo cha waumini wake kubomolewa nyumba maeneo ya Kimara na kwenda kwake kumuomba msaada, tena kaonyesha wazi kuwa kwa kitendo hicho, yeye hawawezi chagua kuwa upande wa wale waliowabomolewa waumini wake nyumba hivyo sidhani kama atakuja kugeuka.
 
Unamsemea huyo Dogo hivi unamfahamu vizuri? Haya mpitisheni halafu baadae mje kubadili maneno eti kafika bei, CHADEMA kazi yenu kuvamia watu msiowajua
 
Uzuri Gwajima amezoea kujitetea mwenyewe! Na Gwajima akipitishwa kugombea msithubutu kuqnzisha siasa za kupakana matope maana atawabutua hadi mjione hamfai. Mbowe mwenyewe anajua sana hilo.
Amezoea kujitetea wapi,wakati ule alipomtukana Cardinal Pengo aliguswa kidogo tu karibia afe kwa presha.
 
Munajua CCM itachukia jimbo.. hakuna ubishi.. na ninyi chadrama mumesaidia kumupa kiki.. juzi juzi
 
Wabunge wanaoishi makwao labda wa kaskazini. Ila mikoa mingine utakuwa unawaonea.
 
 
Ukabila, chuki kwa Waisalam, uzinzi, kuvunja ndoa za waumini,na kutuma video za ngono haya ni mambo ambayo ameyafanya mwenyewe na kamwe hayawezi kumuacha salama

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]"Kutuma video za ngono" .............Gaji miuno bana
 
Bahati mbaya huwezi kukumbatia pesa halafu ukabaki na Yesu, hawa watu wanaonesha jinsi walivyo watafutaji, nawasikitikia sana hao waumini wao, naona msimu wa fursa kwao umewadia.
Umasikini si tiketi ya kwenda mbinguni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…