pamoja Santa
JF-Expert Member
- Jan 6, 2019
- 743
- 1,148
Kauli na matendo vimemhukumu kiaje?Gwajima, kauli na matendo yake ndio vimemuhukumu.
Akikujibu nitagKauli na matendo vimemhukumu kiaje?
Nyie si ndio mlisema kuwa utumishi wa Mungu na siasa ni mbali mbali sasa huyo Shilla mbona mnamfagilia au yeye sio Mtumishi wa Mungu
Hata kamani jambazi,mchawi, mwizi ,kibaka ilimradi anasimama dhidi ya hao wala nyama mi naunga mkono hoja.Bahati mbaya huwezi kukumbatia pesa halafu ukabaki na Yesu, hawa watu wanaonesha jinsi walivyo watafutaji, nawasikitikia sana hao waumini wao, naona msimu wa fursa kwao umewadia.
We mbwa polepole na genge lake la serikali hii ya kishetani walisemaje kuhusu Lowasa alipokua upinzani? Na sasa wanaseje?Mahaba ya kisiasa yamegandisha fikra za watu!
ukiwa upinzani hata shetani anaitwa malaika!
kwa hiyo mtumishi wa Mungu kuishambulia CHADEMA ndio kuchanganya dini na siasa, lakini kuipamba CHADEMA sio kuchanganya dini na siasa?Huyo Gwajima si mlikuwa mnamtumia kuishambulia CHADEMA?Na hiyo ndio maana halisi ya kuchanganya dini na siasa.
Hizi njaa hatari sana juzi tu hapa mlikuwa mnamponda Gwajima sasa huyu ni mchungaji wa mbuzi?Clip yake nimeiona twitter(Darmpya Blog on twitter), imenifurahisha mno na huyu inaonyesha ni muongeaji mzuri sana.Akiingia Bungeni, itakuwa ni shida(watu wataomba muongozo wa kiti mwanzo, mwisho).
Anakwambia: Akili kichwani, pesa mfukoni, Yesu moyoni.
Msikilizeni hapa kwenye hii clip akihojiwa:
Waliojipa kazi ya kuia CHADEMA wamefeli kwa asilimia 100, kwani watia nia ni wengi nchi nzima akiwemo hyu aliewatosa watu wa chama cha kijani akaona aje ajaribu kugombea kupitia CHADEMA,huku akidai yeye hana njaa.
Huyu tunajua ni Jambazi kabisa.Hata likisimama jiwe ni bora kuliko Wala nyamaHuyu hajachanganya dini na siasa wandugu? Mbona naona comment nyingi tofauti na alivyotangaza nia Gwajima? Tuache unafki kwenye nyeusi tuseme nyeusi haijalishi ni upande gan!
Ccm tumewachoka!Ahahahaha! Huyu hachanganyi siasa na dini. Ni Gwajima tu ndiye anayechanganya siasa na dini. Ahahahahah! Kuwa nyumbu kweli ni mzigo!
Matusi na lugha chafu vinachafua moyo na kupunguza uwezo wa akiliWe mbwa polepole na genge lake la serikali hii ya kishetani walisemaje kuhusu Lowasa alipokua upinzani? Na sasa wanaseje?
Jiongeze acha utumwa wa fikra mfu za pale lumumba
Ndugu embu rekebisha tungo yako/swali lako tata tupime mrejesho. Kwenye neno "dini" ondoa harafu weka neno "ukabila" Ntakusaidia kwa wasio elewa. Tungo yako itasomeka hivi, nakunukuu;-kwa hiyo mtumishi wa Mungu kuishambulia CHADEMA ndio kuchanganya dini na siasa, lakini kuipamba CHADEMA sio kuchanganya dini na siasa?
Mkuki kwa nguruwe.......Matusi na lugha chafu vinachafua moyo na kupunguza uwezo wa akili
Acha jazba rudi kwenye ufahamu wako!
Tapeli mwenzie Shila na GwajimaKAZIIPOO.MWAKAHUUU HIZO ZAKA WAB MTATOAA TU NGOJA TUPELEKE WACH HUMOView attachment 1498393
Salary Slip,
Sasa huyu ndio sio tapeli ila Gwajima siku hizi tapeli, makamanda bana [emoji1787][emoji1787]
Gwaji boy alijipambanua ana cheo kikubwa kuliko uraisi ,uwaziri na ubunge ;so kugombea vyeo hivyo amejishushaSalary Slip,
Sasa huyu ndio sio tapeli ila Gwajima siku hizi tapeli, makamanda bana [emoji1787][emoji1787]
Duh hebu funguka zaidi hapaNipe mimi battle nae mchawi uyo kila siku anamtokea mama angu mdogo kisa kuhama kanisa