Uchaguzi 2020 Bilionea Nabii Shilla ajitosa kumkabili Lijualikali jimbo la Kilombero kupitia CHADEMA

Ifikie hatua hata kama ndiyo uhuru wa kuandika muwe na adabu, huwezi kulinganisha mfumo wa kishetani (Demokrasia) na nidhamu za Mola katika kuwakomboa wanadamu na kuwaadabisha.

Uhuru usio na mpaka ni utumwa wa kujitakia.
Huna lolote wewe !
 
CHADEMA ni mpango wa Mungu kwa watanzania


Mungu anapenda walevi na waongo??---- eti kavamiwa na wasiojulikana!!!🤣🤣.

What the fabrication!!!, Looking for a political mileage and a public sympathy , shame on him.
 
Kule Gwajima anapondwa kwa kutia nia akiwa kiongozi wa dini, huku kwa nabii watu cheko. Siasa hizi!!
Umeonaee ujue hapo swala sio kugombea swala ninani anagombea na anaiffect vipi kwenye jamii wanamuogopa Gwajima hawana lolote
 
Siasa ni kama indicator muda wowote hubadilika rangi. Kwa makaribisho yale pale kilosa wiki mbili zilizopita na ninachokishuhudia hapa Kilombero mchuano wa 2020 yeyote anaweza kuchukua kombe...

Morogoro is still Red and blue...
 
Huyu jamaa ni CCM na sijui kama Chadema watampitisha. CCM kabisa hata zile mikusanyiko yake wanakuwepo kijani wa kutosha na influence zao.
 

Huyu hana tofauti na Gwajima kwa usanii na hata akipata ubunge ataunga mkono juhudi kama lijuakali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…