Bilionea Rostam Aziz amemalizana na Vodacom Tanzania (Auza hisa zote kwa Vodacom SA)

Halafu haziuziki Rostam kawezaje kuuza? Soko la hisa litoe utafanunuzi kwa Nini hisa zingine Kama hizo za Rostam zinauzika na zingine haziuziki kwa Nini? Waandishi wa habari fuatilieni hilo
[emoji23][emoji23][emoji23] jambo usilolijua litakusumbua
 
,umemaliza!
 
[emoji23][emoji23][emoji23] shares 100
 
Very intelligent..
 
Kama na wewe unamfahamu mtu anayetaka hisa za voda nenda nae kwa broker mkafanye transfer of ownership au uende na huyo mtu kwa broker umuelekeza hizo hisa zako amuzie huyo uliyempeleka.
Kama umeacha hisa zako kwa broker unakaa kitako unasubiri broker akupigie simu hisa zako zimepata mteja utasubiri sana tena hisa zenyewe za vodacom zilizodorora sokoni
 
Aactually mil 558 mil ni sehemu ya mwisho...total ni usd 220 mil
 
Aiseeee ngoja niendelee kulima mbogamboga naona zinalipa
 
Stock market is a device to transfer money from the impatient to the patient ones-Warren Buffet
Kweli aisee ndo philosoph ya Buffet hio.

Berkshire yenyewe mara ya mwisho ililipa dividend kwa wanahisa mwaka 1967 mpk leo hawatoi dividend ila wanafanya stock buyback ndo mwanahisa anapata pesa yake fresh tu.
 
Kashaonjeshwa..sasa anakimbia kunyweshwa....
February's.. huko ...hakukaliki... ... ... ..
Wapo shidani...
 
Duh kasanuka nn huyu mapema kaamua uza hisa zake au kuna kitu kinataka endelea hapo kati
Mkuuu sasa hivi hiii nchi Kama una hisa uza mapema asikudanganye mtu uchumi unaporomoka acha hayo ya wanasiasa kuwa uchumi unakuwa ni uongo Hali sio nzuri hata biashara usiwekeze Tz kwa sasa utalia hao akina lostam ni wajanja alienunua yatamchwea
 
Kuna shida mahali
Na kule kigamboni kauza share zake
Huyo ni mjanja kwa sasa Hakuna mazingira Rafiki ya kibiashara, wawekezaji wanateketea hata hao wanaowekeza wapya watalia uchumi umekufa ila tu watu wanafanganyika
 
Kabisa... ...
 
Ukoo wa marope
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…