Bilionea Warren Buffett: Nikifariki mali zangu wapewe wenye uhitaji

Hapa bongo kuna msemo "Matajiri hufa na mali zao" kwa sababu ya tabia za kihusda za matajiri. Naomba nieleweke siwachukii matajiri na siuchukii utajiri ila asili ya uchu na ubinafsi " greed and selfish ness attached to ego" ni janga la Dunia.
. Bado tuna ile roho mbaya, kwamba maskini naye ateseke kidogo.

. Utakuta ukoo fulani una matajiri kadhaa, lakini ukoo huo una maskini wenye hali ya taabani kimaisha..
 
Nazungumzia grandlodges za ma master mkuu,sio sangoma wa huku wa masharti uchwara!!

Wanaenda uza nafsi zao ili waangaziwe life lao!!


"Katika Kila utajiri Kuna kafara nyuma yake"The Bold
😄😄😄, hutaki mizizi ya sangoma ya kuoga kutwa mara tatu.
 
😄😄😄, hutaki mizizi ya sangoma ya kuoga kutwa mara tatu.
Huo ujinga na utumwa ambao mwisho was siku unaishia kupata Hela ya kula na kusomesha watoto na kagari kakuzugia madem halafu Bas!!

Hapa nazungumzia kipato Cha makampuni makubwa na kuingia kwenye vikao vya siri vya kuamua kesho ya mabilioni ya watu mkuu!

Ndio hao jamaa kina Bil gates hai,kina elon.musk n.k!!
 
Ni wewe tu ndo humfatilii huyo mzee Ila anatoaga elimu nyingi sanaa juu ya masuala ya fedha na uwekezaji kuna vitabu vingi sana vimeandikwa kuhusu mbinu zake za uwekezaji,,, Watu mnawazaga vitu Negative tu dadekiiiiii
 
Kwa hiyo watoto wa huko Somalia waendelee kufa hadi yeye akifa .wakat anaweza okoa mamilion ya uhai ambayo atapoenda kwa Mola wake kila mmoja anathaman sawa na yy
 
Ni unafiki tu..kwann asiwape sasa hivi
Kwa hiyo watoto wa huko Somalia waendelee kufa hadi yeye akifa .wakat anaweza okoa mamilion ya uhai ambayo atapoenda kwa Mola wake kila mmoja anathaman sawa na yy
ANaogopa kushuka daraja...
ANaogopa kushuka daraja...

Kwanini urithi?

Kwanini atoe akifa...

Atoe sasa akiwa hai, sehemu fulani kwa hao wahitaji...

Kwa tunaoamini Mungu, tumeambiwa tutoe sadaka kwa wahitaji...

Ikiwa na maana tukiwa hai sio wafu...
Hakuna mirathi bila kifo.

Mwenye mali akifa ndipo mali zake hugawanywa kwa matakwa yake yeye mwenyewe.

Na huwezi kumpangia mtu namna ya kutumia mali zake ikiwemo namna ya kugawa.
 
Labda hana Watoto au Watoto wake nao Wana Utajiri.

Ni Bora hii kuliko watu wabakie kuuana.
 
Mpaka unafikiria kugawa Mali kwa maskini maana wewe sio masikini kabisa. Hapa kwetu badamu batamwagika maana hata kama baba ana billion 100 jua mtoto bado anategemea ufadhili wa baba ili kujiendesha.

Wenzetu huko baba kafa billionea ila watoto kawaachia share zao wanainjoy life tu. Hata mpango na mali zake hawawezi kuwa nao.
 
Akifa atakuwa hana thamani nazo ndo maana anataka zitoke, angekuwa mtoaji kweli angetoa 50% sasa hivi badala 99% akifa
Watoto wake wanajiweza kawapa elimu bora, malezi bora michongo safi hivyo anajua wanaweza jitaftia ndio maana kaamua mali zake wale wengine akifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…