Bilionea Warren Buffett: Nikifariki mali zangu wapewe wenye uhitaji

Bilionea Warren Buffett: Nikifariki mali zangu wapewe wenye uhitaji

Akifa pesa zake wapewe wenye uhitaji sawa, lakini ni pesa zake sio utajiri wake unaotakana na hisa zilozopo kwenye makampuni kama Berkashire herthway, coca cola n.k, anaweza kuwa wakati anafariki asiwe na fedha nyingi kivile kwenye akaunti zake. Yeye angesema hiza zake ziuzwe pesa wapewe wenye uhitaji hapo ningemuelewa.
 
Hela atafute yy then mumpangie cha kutoa, ila ukimfuatilia huyo mzee kishatoa zaidi ya 40% ya utajiri wake.

kuna watu humu moyo huo hawana, Wengine wanazani mpaka uwe na milioni ndio utoe,siku zote ukitoa kipindi una buku utatoa kipindi ukiwa milionea, ila ukishindwa kuwa mtoaji kipindi ukiwa na buku, hutokuja kuwa mtoaji hata ukiwa bilionea.
 
Back
Top Bottom