Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 38,657
- 44,759
Usishangae na sisi pamoja na kuwa na resouces zote hizi tutakinga bakuli watuwekeeHapa kwetu Africa lini tutafikia hii hatua?, Au tuendelee kusindikiza dunia? 🥴🥴
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usishangae na sisi pamoja na kuwa na resouces zote hizi tutakinga bakuli watuwekeeHapa kwetu Africa lini tutafikia hii hatua?, Au tuendelee kusindikiza dunia? 🥴🥴
Nazungumzia grandlodges za ma master mkuu,sio sangoma wa huku wa masharti uchwara!!Nyumba za makuti = nyumba za waganga wa kienyeji
Nadhani linapokuja suala la mtaji kilamtua yupo na mioango yake hayo ya kufunzwa samaki nini ni nonsense, watu wako na idea, Strategy nk hawana mitaji tu.Usilolijua ni usiku wa giza...
Swali la kujiuliza ni masikini ni nani? Anahitaji nini hasa?...Je kuwapa masikini mali ni kuwapa uwezo endelevu?.
Anayekupa samaki na hakufundishi anavyovua hao samaki sidhani kama ana nia ya dhati ya kukupa msaada endelevu "sustainable support"
Usiwafundishe wanao uongo uleule
Hatua ya mwanzo nitazigawanya makundi mawili moja nitakuwa nalo karibu ili nigawe kwa wadau na lingine litawekwa mbali kabisa kwenye usalamamgawaji ana option mbili probably, kukosa au kupata zaidi ya aliowagawia
Kwa hiyo kupewa mali bila kufundishwa namna ya kuzipata siyo nonsense eti? Tafakari kabla ya kuchangia MkuuNadhani linapokuja suala la mtaji kilamtua yupo na mioango yake hayo ya kufunzwa samaki nini ni nonsense, watu wako na idea, Strategy nk hawana mitaji tu.
Aliwapa sasa wataharibu,Kaka Mkubwa lazima asimame kama Kaka!!!!Ni unafiki tu..kwann asiwape sasa hivi
Vipi ndugu zakoHata Mimi pia tangu zamani Nina mawazo hayahaya.kama ntabahatika kuwa nazo wapewe wahitaji.uza nyumba nunua mahitaji na cash gawa vituo vya yatima na wazee na makundi maalum
Tupo njiani tunapikwa mbonaHuku kwetu kwanza Billionaire hakuna ni wachache [emoji1787][emoji1787]
Boss Kama huko na million 5 wewe nipe sihitaji nasaha na ndoano zako wewe if amount available give it to me.Kwa hiyo kupewa mali bila kufundishwa namna ya kuzipata siyo nonsense eti? Tafakari kabla ya kuchangia Mkuu
Daaah!..kweli lakiniBoss Kama huko na million 5 wewe nipe sihitaji nasaha na ndoano zako wewe if amount available give it to me.
Nielewe mimi watu hawaitaji kiwa matajiri watu wanahitaji pesa kiwekeza kwenye vile wanavyoviwaza hili kuwa mbali na shida za kiuchumi, hakuna mtu asiyejua kufungua Tigopesa Boss Kama wewe unakataa mtaji atakaokuachia Buffet kisa ajatoa maelekezo ya kuwa tajiri wewe not us, we already know what to do with those papers.
Ana kipaji cha biashara huyo! "Kichochee" kwa hekima! Hata akina Buffet walianza vivyo hivyo, ingawa yeye akiwa mkubwa kidogo kwa mwanao, alikuwa na miaka tisa!Namfikiria mwanangu wa miaka 8 aliponiomba buku jero, nikamuuliza ya nini akaniambia naenda kununua mfuko wa pipi, nilimwangalia nikamuuliza mfuko wa pipi? Unafanyia nini
Akaniambia naenda kuwauzia watoto shule
Nikamwambia utafika wakati utakuwa na biashara yako na ninakuahidi ila kwa sasa soma pia shule ni marufuku
Sasa anasubiri duka lake 😄
Na huo ndiyo umemfanya kuwa tofauti na watu wa rika lake.alilitambua lengo lake mapema katika umri ambao sisi tulikuwa tunafundishwa panzi ana miguu mingapi
✅✅✅📌🔨Ili kufikia hatua ya utajiri, heshima ya pesa inahitajika sana.. Tofauti na hapo tutaishia kupata hela kula tu.
Nilitaka niseme kuna watu wanaviogopa vichwa vyenye "exposure ", lakini nimeamua kutokusema.Nashukuru sana mkuu ingawa serikali imetutenga na kutuita Diaspora tusio na haki ila ipo siku watatupa haki yetu maana hata mirathi tumesamehe eti hatuna haki nayo. Nyie sawa tu 😄
Hilo wazo litumie wewe ,yeye kashasema mpka afe ,pesa si za kwake.Kwanini asiwape mwenyewe kabla hajafa?