Bilionea Warren Buffett: Nikifariki mali zangu wapewe wenye uhitaji

Bilionea Warren Buffett: Nikifariki mali zangu wapewe wenye uhitaji

Hapa bongo kuna msemo "Matajiri hufa na mali zao" kwa sababu ya tabia za kihusda za matajiri. Naomba nieleweke siwachukii matajiri na siuchukii utajiri ila asili ya uchu na ubinafsi " greed and selfish ness attached to ego" ni janga la Dunia.
 
Usilolijua ni usiku wa giza...
Swali la kujiuliza ni masikini ni nani? Anahitaji nini hasa?...Je kuwapa masikini mali ni kuwapa uwezo endelevu?.
Anayekupa samaki na hakufundishi anavyovua hao samaki sidhani kama ana nia ya dhati ya kukupa msaada endelevu "sustainable support"
Usiwafundishe wanao uongo uleule
Nadhani linapokuja suala la mtaji kilamtua yupo na mioango yake hayo ya kufunzwa samaki nini ni nonsense, watu wako na idea, Strategy nk hawana mitaji tu.
 
Kwa hiyo kupewa mali bila kufundishwa namna ya kuzipata siyo nonsense eti? Tafakari kabla ya kuchangia Mkuu
Boss Kama huko na million 5 wewe nipe sihitaji nasaha na ndoano zako wewe if amount available give it to me.

Nielewe mimi watu hawaitaji kiwa matajiri watu wanahitaji pesa kiwekeza kwenye vile wanavyoviwaza hili kuwa mbali na shida za kiuchumi, hakuna mtu asiyejua kufungua Tigopesa Boss Kama wewe unakataa mtaji atakaokuachia Buffet kisa ajatoa maelekezo ya kuwa tajiri wewe not us, we already know what to do with those papers.
 
Daaah!..kweli lakini
 
Namfikiria mwanangu wa miaka 8 aliponiomba buku jero, nikamuuliza ya nini akaniambia naenda kununua mfuko wa pipi, nilimwangalia nikamuuliza mfuko wa pipi? Unafanyia nini
Akaniambia naenda kuwauzia watoto shule
Nikamwambia utafika wakati utakuwa na biashara yako na ninakuahidi ila kwa sasa soma pia shule ni marufuku
Sasa anasubiri duka lake 😄
Ana kipaji cha biashara huyo! "Kichochee" kwa hekima! Hata akina Buffet walianza vivyo hivyo, ingawa yeye akiwa mkubwa kidogo kwa mwanao, alikuwa na miaka tisa!
 
Nashukuru sana mkuu ingawa serikali imetutenga na kutuita Diaspora tusio na haki ila ipo siku watatupa haki yetu maana hata mirathi tumesamehe eti hatuna haki nayo. Nyie sawa tu 😄
Nilitaka niseme kuna watu wanaviogopa vichwa vyenye "exposure ", lakini nimeamua kutokusema.

Pole sana mkuu! Poleni sana!

Hizo fikra "mgando" za enzi za ujamaa zitafika mwisho tu.
 
Back
Top Bottom