NAMBA MOJA AJAYE NCHINI
JF-Expert Member
- Oct 29, 2019
- 9,863
- 20,806
Huo u prezdah wenyewe hauupati bila kuwa member mkuu!!Mjinga mwengine huyu hapa....hafu naye ana ndoto za kuja kuwa president
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huo u prezdah wenyewe hauupati bila kuwa member mkuu!!Mjinga mwengine huyu hapa....hafu naye ana ndoto za kuja kuwa president
🥴🥴, kila nikifiria hayo mabilioni yanayo kopwa na serikali.. Alafu yanako enda hayaeleweki..😄 mkuu usijali nimezaliwa kwenye hela siwezi kutamani hata siku moja
Father alikuwa ananipa nazihesabu nikiwa mdogo sana na ndugu zangu kama kuiba ningeanza huko
Hapa nilipo kuna jamaa aliniachia kampuni peke yangu ndio boss alirudi imezaa akaamua kunipa shares kwa hiyo jambo la kuzingatia katika Dunia hii ni Uaminifu na roho nzuri tu pamoja na ukarimu
Ukiwa mcha Mungu utapata Hela ya kula tu!labda kiasili Mungu awe amekujaalia kama mfalme.Suleiman ambaye alipata utajiri Kwa kupewa na watu sio kwa kufanya kazi!!Mjinga mwengine huyu hapa....hafu naye ana ndoto za kuja kuwa president
Buffett haongozwi na imani zenu hizo ambazo mnatoa sadaka kisa mmeelekezwa vitabuni na kutishwa mtachomwa moto ila mkitoa misaada mtapunguziwa adhabu ya kaburi.Kwanini urithi?
Kwanini atoe akifa...
Atoe sasa akiwa hai, sehemu fulani kwa hao wahitaji...
Kwa tunaoamini Mungu, tumeambiwa tutoe sadaka kwa wahitaji...
Ikiwa na maana tukiwa hai sio wafu...
yeye ndio amesema anajali na atagawa..kwanini asubiria wakati hatakuwa na uwezo wa kuona ugawaji wenyeweWewe pia si uko hai?
Kwa nini hugawi mali zako kwa maskini?
Huwezi kumpangia mtu namna ya kutumia hela zake.
Mshenga umekuja kumsemea...Buffett haongozwi na imani zenu hizo ambazo mnatoa sadaka kisa mmeelekezwa vitabuni na kutishwa mtachomwa moto ila mkitoa misaada mtapunguziwa adhabu ya kaburi.
Buffett anaongozwa na humanity, sio dini. Ametoa msaada tangu 2006 sababu ya ubinadamu sio sababu ya dini. Na kachelewa kuanza kutoa misaada mikubwa sababu alichelewa kuwa billionaire. Utajiri wake kaupata kwa savings na reinvestments hasa kwenye hisa. Ni utajiri wa kuupata miaka 30 baadae sio wa kukurupukia. Huna cha kumshauri wala kumpangia Buffett na rafiki yake Charlie Munger aliyefariki juzi.
Inashangaza kuona mtu from nowhere anampangia tajiri wosia wake uweje. Chukua wewe hizo nguo zako gawa kwa wasiojiweza ushindie mashuka ili ukifa uende mbinguni.
Mkuu kwa hiyo hata wenzetu wanatumia nyumba za makuti??Mali za mikataba hizo za wale jamaa!!
Hakuna tajiri was america ambae sio member was society ile!!
Ukifanya mema walau adhabu ya kuzimu au akhera utapunguziwa japo ni kweli.kwamba wewe ni WA kuzimu na motoni milele!!
Na kitendo cha kujiondoa Berkshire Hathaway kwa kuuza hisa ni kuua kampuni sababu investors watapoteza confidence wauze hisa na zishuke thamani. Assume mtu kaweka share Mohamed Enterprises alafu ghafla anasikia Mo Dewji anataka auze hisa zote, si inazua taharuki. Kama mmiliki au mwanzilishi haamini tena kwenye kampuni, sembuse wewe uliyedandia mbele ya safari.Buffet na matajiri wengi wakubwa u aowajua wewe wametoa sana mali zao kusaidia watu na mpaka wanna foundation mtu Kama Buffet ana foundation kabisa ameshasaidia ma Billions hadi umri huo ila hapa leo tunazungumzia URITHI kwenye urithi kaamua hivyo...Mosi.
Pili, hizo Mali zipo in trwm of share ya Kampuni yake ya Barkshare inaamana yeye kumiliki huo utajiri hadi sasa ni inamaanisha anarndeleza shughuri za Biashara ambyo apart from kumpa utaji ndio purpose yake, passion na Icon so kurithisha kabla ya kufa inamaanisha ni kijiondoa kwenye Biashara ambayo ndio passion na purpose yake.
Unamaanisha Nini!!?Mkuu kwa hiyo hata wenzetu wanatumia nyumba za makuti??
hana lolote anatafuta attention kwenye media kwanza mjitoaji wa kweli hasemagiAcha akili za kimaskini, nini maana ya urithi?
wenye haki ya kurithi hizo mali ni familia yake Warren kwanini hawapi kabla hajafa?
babaako anaeza kukuachia nyumba kabla hajafa? jinsi babaako alivyo na uchungu na hiyo nyumba anavyoiona hiyo nyumba ndo utambulisho wake akiwa hai ndio maana hawezi kukurithisha kabla hajafa, labda kwenye makaratasi tu lakini kuimiliki ni mpaka afe.
the same kwa Warren hizo ni mali alizitafuta kwa jasho lake ana uchungu nazo na ndio utambulisho wake mpaka kufa
mtu kaamua nikifa urithi wangu wagaiwe wenye uhitaji mmatumbi mmoja anaita unafki, shwain
Yaani majizi haya hayawezi kupeleka popote zaidi ya kujenga majumba na kuandika mahawara na ndugu🥴🥴, kila nikifiria hayo mabilioni yanayo kopwa na serikali.. Alafu yanako enda hayaeleweki..
Mkuu hakuna tajiri atakeye kupa Chanzo cha mali zake, au mbinu alizo tumia kupata huo utajiri ..Usilolijua ni usiku wa giza...
Swali la kujiuliza ni masikini ni nani? Anahitaji nini hasa?...Je kuwapa masikini mali ni kuwapa uwezo endelevu?.
Anayekupa samaki na hakufundishi anavyovua hao samaki sidhani kama ana nia ya dhati ya kukupa msaada endelevu "sustainable support"
Usiwafundishe wanao uongo uleule uliofundushwa.
Well said BrethrenMkuu hakuna tajiri atakeye kupa Chanzo cha mali zake, au mbinu alizo tumia kupata huo utajiri ..
Km mgawaj nikiwa mim zitawafikia bila shakaMaskini zitawafikia kweli hizo noti... [emoji3061][emoji3061]
Ni kweli mkuu ✍️✍️.Yaani majizi haya hayawezi kupeleka popote zaidi ya kujenga majumba na kuandika mahawara na ndugu
Yaani hawawezi kufungua biashara na kuajiri watu 1000
Ndio maana kuona mswahili ana biashara za wazi ni wachache sana maana wengi ni majizi hawawezi kuwa na mfano wa kina Bakhresa au MO na wengine
Usishangae kuona wenye asili za nje ndio wanaongoza kwa sababu utajiri wao unajulikana kwa historia zao
Sasa sisi anahaha mpaka anaamua kuwapa hao hao matajiri wawekeze kificho
Hata umaskini una siri nyingi tu. Hata kuzaliwa kwako kuna siri nyuma ambayo wewe mwenyewe huijui.Mshenga umekuja kumsemea...
Utajiri unasiri nyingi, wewe unaona na macho yako hayo ya nyama...
Hapo nimeandika kwann asiwapeTafuteni zenu, hizo ni zake na familia yake hadi siku akifa