Ameanza kutoa misaada kabla hajafa huyu jamaaKwanini asiwape mwenyewe kabla hajafa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ameanza kutoa misaada kabla hajafa huyu jamaaKwanini asiwape mwenyewe kabla hajafa?
Hapo mungu alifanya kweli.. Just imagine mwafrica umri wa kuishi iwe miaka 700 hivi..Hapa NDIPO MUNGU ALIPOTUWEZA WANADAMU,
kitu kidogo tu UHAI lakini tunashindwa kukinunua
Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
Wewe umetoa ngap mpka sasaAkifa atakuwa hana thamani nazo ndo maana anataka zitoke, angekuwa mtoaji kweli angetoa 50% sasa hivi badala 99% akifa
Tafuteni vyenu, msiwapangie watu maishaKwanini urithi?
Kwanini atoe akifa...
Atoe sasa akiwa hai, sehemu fulani kwa hao wahitaji...
Kwa tunaoamini Mungu, tumeambiwa tutoe sadaka kwa wahitaji...
Ikiwa na maana tukiwa hai sio wafu...
Tanzania ina Bilionaire 1 tuHuku kwetu kwanza Billionaire hakuna ni wachache [emoji1787][emoji1787]
Katoe kama rahisiChimbuko la Bilionea wa Africa
1. Wizi
2. Au mali za kafara
Una akili za kimasikini sanaMali za mikataba hizo za wale jamaa!!
Hakuna tajiri was america ambae sio member was society ile!!
Ukifanya mema walau adhabu ya kuzimu au akhera utapunguziwa japo ni kweli.kwamba wewe ni WA kuzimu na motoni milele!!