Bilionea Wilfred Tarimo Apewa tuzo ya mlipa Kodi mkubwa

Cc Ritz Accumen Mo darcity
 
Hapa Mkoa wa Mjini Magharibi tunazisubiri hizo Kodi zenu tuzitafune taratiibu.
 
Cc Accumen Mo MoseKing darcity
 
Sema kaskazini siku hz imepwaya sana aiseee kuna era ya kina Mengi, Msuya, Ndesamburo(ndesamapesa)na wengn wengi ambao majina yao hayakua makubwa Sana

Kwenye siasa alikuepo Mrema, Mbowe, Lema, Lowasa na wengn
 
Sasa huyu ndo tajiri sasa.

Akina Azam, Mo na wengine ni majizi tu. Wana utajiri mkubwa sana lakini hawalipi kodi
 
Sema kaskazini siku hz imepwaya sana aiseee kuna era ya kina Mengi, Msuya, Ndesamburo(ndesamapesa)na wengn wengi ambao majina yao hayakua makubwa Sana

Kwenye siasa alikuepo Mrema, Mbowe, Lema, Lowasa na wengn
Mbona wapo wengi tu bruh ndio kama hawa wakiendelea kupambana watafika level za akina mengi
 
Hivi wewe huwa unauliza hao ombaomba kabila zao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…