Tetesi: Bilioni 1.9 zaibwa CHADEMA, Wingu zito latanda. Wabunge wagoma kuchangia chama

Status
Not open for further replies.
Katika kuelekea kwenye uchaguzi wa serikali za kitaa, tutashudia mambo mengi ikiwa ni pamoja na kashifa na betrayal nyingi sana, watu wanatakiwa kuelewa ya kipindi hiki kina maana gani hasa katika maisha yao, wanatakiwa kutambua ya kwamba vyama vya upinzani vinapitia katika hali gani kwa sasa, lakini pia wanatakiwa kufahamu ya kwamba siyo kila umuonae anaweza kuwa msaada kwako
 
Hivi haya ndio makao makuu ya hii saccoa kwa miaka 26? ni nyumba ya nani hii?,ama kweli wajinga ndo waliwao.
 
Wamebaki kusema Ati Rais Hajui kimombo
Juzi akachakaza kimombo sadc imesmama hawana la kusema sasa
Warudi kwa mange

Umeishiwa hoja. Unajua tofauti ya kuweza kuongea kiingereza na kuweza kusoma kiingereza? Acha nikachekee mbali.
 
Daah kigogo kahamia kwao?

Walivyo vinyonga wataanza kumponda wakati alikua mchiz wao
 
Halafu kuna wapumbavu wengi hapo wameaminishwa chama huendeshwa kwa pesa binafsi za Mbowe,mara anakikopesha chama.

Kutegemea et hao jamaa wakishika dola kutakuwa na jipya ni zaidi ya ukichaa.
Kina Chakaza, Bak na magenge yao huwaambii kitu kwa Mbowe
 
Na Mbowe anawapenda sana mazuzu kama wewe
 
Daah kigogo kahamia kwao?

Walivyo vinyonga wataanza kumponda wakati alikua mchiz wao
Amesha tweet ana kejeli Mkutano wa CDM Kahama ambao hauna Maudhui anwacheka akina Yeriko Nyerere😀😀😀😀
 
Tabia ya ufisadi ni yetu watanzania wote
Kila anaepewa ofisi anajitahidi kula pale alipo.
Na wanasiasa wanapata wajinga wao wakuwatetea, kwakweli kuna matumizi madogo Sana ya akili kwa Wavyama wa vyama vya siasa.
Wengi Wanasikiliza nakulariri yoyote yasemwayo na viongozi wao.
Wako bado na zidumu fikra za mwenyekiti.
 
Lofa katika ubora wako
 
Nilikuwa nashangaa sana Chama kinaongozwa na mchanga alafu anachukua hela za CDM kila mwezi, aache kupiga, kuna issue ya ruzuku kila mwezi ya CDM nasikia ukiuliza auditing report yake, unafukuzwa CDM haraka.. Transparence ZERO.
Mkuu hakuna chama chenye transparency kwenye mambo ya pesa, Ni uwongo sio upinzani wala ccm.hongereni mnaoamini hayo mavyama.
 
Dunia kicheko

Alipo kuwa anaisema CCM na meko wapinzan walikuwa yuko sawa kabisa..ccm walikuwa wana mpiga
Nao kaisema chadema, ccm wanakubaliana na chapisho lake ila chadema wana lipiga

Lesson Sheria ni Msumeno inakula kote..
 

Attachments

  • IMG_20190916_145208.jpg
    32.4 KB · Views: 11
Sielewi topic hapo, wameiba hela za wananchi wa Tanzania? Au ni makubaliano yao ya kukatana mishahara kama michango ya kukijenga chama. Sioni logic hapo ya kuongelea bilioni 1.9 aaaaah tuacheni utani.
Jiwe kachukua Trilion 2.4 yaani Bilioni 2400, tena za Kodi za wananchi. Hamjawahi kulisemea nyie Lumumba, leo mnakoja na hoja dhaifu isiyo hata na mashiko. Poleni sana, tukutane 2020.
 
Aiseee huyu naona anatafuta trust na followers.

Haya amesikika alete na habar nyingine.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…